Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Hiyo ES300 ya miaka 20 iliopita ipo wapi?
 
Sisi wenye mark x,mbona tupo comfortable tu mkuu
 
Mjapenga mitano 5 🤣
 
Nioneshe huku barabara za Tanzania.

Kiuhalisia hizo lexus sizioni bongo.
Kwahio nikae barabarani napiga picha gari za watu kama traffic si wehu huo 😂?

Hapa tunabishana kwa hoja picha nimekupa haya sema kilichopungua humo kwamba gari hio haina AC kwenye Benz ipo, haina leather seats kwenye benz zimo, haina wood trimming kama kwenye Benz lako C Class, Haina Redio wala Sunroof kama kwenye benz!
 
Jisemee mwenyewe usitumie neno "watanzania"!
 
Huyu mjerumani wetu wa jf.. ni mtata. Asipo ona gari haimaniishi haipo.. ndio ajue kwanaa BMW ni yebo yebo ndio maana vijana wanazo kibao huku kitaaa ila sio lexus
 
Kwa hio braza umetuona utudanganye kabisa sio?

Mawaziri wakuu wa Japan gari zao ni Toyota century,LS600h.
 
Mjapana akili kubwa.. hajawahi kutuangusha watanzania
Sio watanzania tu,hata wamarekani na pesa zao zote Toyota ni mkombozi wao,cheki units za magari walizouza Toyota hapo linganisha na wajerumani walioko mwishoni kabisa mwa list yaani 3 bomba(Bmw,Mercedes,vw).

Sales in units

1.Ford 2,284,425

2.Toyota 2,085,206

3.Chevrolet 1,942,039

4.Honda1,450,985

5.Nissan 1,227,973

6.Jeep 923,292

7.Ram 703,023

7.Subaru 700,117

8.Hyundai 688,771

9.Kia 614,613

10.GMC 564,950

11.Dodge 422,888

12.Volkswagen 363,322

13.Mercedes-Benz 352,129

14.Bmw 324,825
 
Poor build quality.

Stability, Handling, premium features.

I have driven both. Nimeexperience alot of differences.
 
MIMI NIKIPATA PESA NTAAGIZA TOYOTA LC76 AU LC70.
 
Mjapani anagusa kila Level ya uchumi ndio maana wanamuona maandazi tu. Nadhani magari anayotoa TOYOTA tu ukiachilia akina Nissan, yanafika 150+. Mjerumani ana magari machache sanaaa
Usiangalie magari wanayopenda waTanzania ndio ukahisi ndio uhalisia wa dunia. Miaka mingi gari aliyokuwa inaongoza kwa mauzo duniani kila mwaka ni VolksWagon. Mwaka jana Toyota akaongoza kwa mala ya kwanza. German ana export magari mengi sana


Hizo unit in millions.
 
Toyota Fan boys hizo gari hamzileti.

Mnakimbilia kina Wish, IST, Passo, mark x, crown, brevis. Hizo ndo yeboyebo zenu.

Ila lexus mtaishia kuzisifia. Ila kuzimiliki hata hizo hamziwezi sawa na kina BMW, audi..

Hata hizo toyota zimechoka kinoma. Zinawashinda mnaleta story za lexus.
 
Hakuna anaebisha kampuni kubwa ya magari ulimwenguni ni VW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…