Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Utofauti wa TOYOTA na VW reliability. Zaidi TOYOTA amekwenda mbali kwa kuangalia uchumi wa wateja wake ndio maana ana variety nyingi zaidi sokoni kuliko VW na pia upatikanaji wa spare zake ni cheap hata kwa watu wa chini.. Asilimia kubwa ya magari tulio nayo TZ hata kwenye official website ya Toyota Global hayapo hata ukienda search engine kusearch huyakuti. Harrier tu tunayoiona ni gari kwetu kwenye website ya TOYOTA haipo na haijulikani. Na inawezekana hata waliotoa hizo statistics kati ya TOYOTA na VW wamehusisha TOYOTA official cars achana na hao akina VITZ, IST, OPA, IPSUM, BREVIS
 
Hata Toyota ninayo.

Bado ipo kwasababu inabeba historia ndefu.

Ila siikubali kabisa.
Umeishazoe mjerumani ,mjep huwezi kumkubali. Kuna mzee mmoja yeye wankishua toka udogoni na wanatumia kwao Europen car toka kitambo, kuna siku akashika crown alishangaa njia nzima anaisifia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hizo gari hazipo sababu ni Outdated models! Gari ambazo ziko kwenye website ni current models mkuu.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ na wanapendeles 3s engine kwny kuswap balaa.
 
Sasa we gari unazozipenda zote unazimiliki mkuu? Mi nachoona umeishiwa sera tu 😁😁😁

Au we Maybach huipendi mbona huileti sasa?!
Mjerumani wetu mtata tu, ila kuna mzee namjua ni Tajiri sana, na utajiri wao umeanza toka utotoni.. kwake pamejaa gari za Europe, kwake gari sio shida. Ila kuna siku tulikuwa nae tumeenda kununua gari flani, wakati tunarudi akashika Crown sikuwa vizuri kuendesha, njia nzima anaisifia kuanzia mwendo na ile luxury yake ya ndani.. mzee alikuwa kama mgeni kwenye magari, lakini ukifika kwake parking yake kuna machine za kweli.. ila huyu mjerumani wetu kaamua tu kugoma kutupa nyota zetu, hadi atuone tunamiliki Lexus Ls600h wakati yeye hata BMW M4 hawezi kutuletea hapa.. anatunanga tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unafikili hawajui, wanajipa moyo tu, wanatuletea mapicha ya model za 2020. Wamebaki kulinganisha bei.
 
Hizo gari hazipo sababu ni Outdated models! Gari ambazo ziko kwenye website ni current models mkuu.
Mkuu nimefuatilia sana magari ya TOYOTA. kwa yaliyopo hapa nchini magari ambayo TOYOTA huyakosi kwenye website yao ni
1. Land cruiser
2. RAVA4
3. Corolla
4. Hiace
5. Camry

Hizo za hapa Bongo kwetu sijawahi ziona, ni miaka kibao TOYOTA kasimama nia hizo
 
Most valuable car companies 2020


Most valuable car company in the world list




Most selling car brand in the world


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…