Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Huyo jamaa anatumika na mabeberu aisee,acha wabongo tuendelea kumiliki ma Germany machines πππππ.Angali hii video jamaa anachambua kwanini usinunue used bmw,jamaa ni owner wa various Bima,Bima enthuathist,pia ni seller na mchambuzi wa magari.
Alafu jamaa hata hawajiulizi kwanini rav 4 inayouzwa UK tofauti na bongo?Sub standard cars.
Gari za Toyota zinazoenda UK na US ni bora kuliko mnazozisifia zenu huku.
US, UK huwezi kuta hizo crown, brevis zenu.
Gari ikifika 150kph kinaanza kuswing, moyo unaanza kwenda mbio.
Hizo ni luxury brands kwani hata lexus pia ni hivi hivo.Halafu mtu kufananisha Toyota na BMW, Audi, Benz sio sawa,hizo inatakiwa zifananishwe na luxury arm ya Toyota ambayo ni lexus tena model kwa model.Kasoro German company BMW/ AUDI/ BENZ hawana diversity kulingana na geographical needs. Ukinunua BMW ya German ndio hiyo tunalazimisha kwenye hizi hizi bara bara zetu za Ubungo external. Gari mpaka inaisha haijawahi gonga 260km/ h kwenye dashboard
Umemsikiliza lakini?[emoji23]Huyo jamaa anatumika na mabeberu aisee,acha wabongo tuendelea kumiliki ma Germany machines [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
asisahau na kutuma aina ya gari analolitumiaUkimaliza wawekee kabisa na Calculator ya TRA wananchi wajionee hali halisi.
Tunaweza funga huu mjadala wa TOYOTA, Tukaleta LEXUS vx German machine π π π π πHizo ni luxury brands kwani hata lexus pia ni hivi hivo.Halafu mtu kufananisha Toyota na BMW, Audi, Benz sio sawa,hizo inatakiwa zifananishwe na luxury arm ya Toyota ambayo ni lexus tena model kwa model.
Hiyo ni kashfa.Watu hawaelewi[emoji23], BMWs na Benz kwenye engine bay kuna parts zimekua designed to fail baada ya muda fulani hata kama unalitunza vipi. Zikianza fail ni moja baada ya nyingine mpaka gari inashinda garage kuliko home, bado matatizo ya umeme kwa kuwa na sensor nyingi kuliko maelezo . Ulaya, USA,South Afrika gari ikiisha warrant tu anaicha na kuchukua nyingine au anahamia Toyota, Kia, Hyundai. Mtanzania ana nunua ugonjwa wa moyo na wallet BMW, Benz ya miaka 15 kweli.
Toyota IST unakuta imewaka taa ya check engine, shockup zinagonga, oil na filter zimepitiliza muda wake.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sasa hapo hujaelewa nini mkuu ? Unazo ita sub standard ni kwa soko la watu wenye uchumi wa chini. Wameletewa kutokana na hali yao ya kiuchumi. Usiige kunya kwa tembo
Sawa.Toyota wanatengeneza models tofauti kwa masoko tofauti ndio maana kuna salon zipo Japan lakini haziko UK wala USA,pia kuna trucks zipo USA lakini haziko nchi nyingine. Hii sio kwa Toyota hata car makers wengine pia wanafanya kama Toyota.
Huh nunua vitz wewe Kakacc buku 4 iyo ni fuso kaka π€£ π€£ π€£ , yaani itakua sawasawa na mtu anaendesha fuso bila mzigo
watu wanazisema sana, mm plan yangu ni kununua pikipiki cruiser isiyozidi milioni ishiriniHuh nunua vitz wewe Kaka
Soma Specs hapo, ina engine ya V8, Engine Capacity 4000cc buku 4 iyo ni fuso kaka π€£ π€£ π€£ , yaani itakua sawasawa na mtu anaendesha fuso bila mzigo
Mjapan yupo vizuri sana, ukiona Fuga ni mziki mnene unasogea kwa SkylineSoma Specs hapo, ina engine ya V8, Engine Capacity 4000
Sasa inakuaje hata huko US ambako kuna matajiri kwny top 15 ya gari zinaouza kwa sana Bmw,Benz,VW ndio za mwisho kwa kuuza gari chache huku Toyota ikiwa ni ya 2 kwa kuuza gari nyingi?Alafu jamaa hata hawajiulizi kwanini rav 4 inayouzwa UK tofauti na bongo?
Tukubali tukatae sisi uwezo wa kumiliki Germany machine hatuna, tusitafute visingizio eti spares, mafuta dunia kijiji.
Read btn the lines mkuu.Umemsikiliza lakini?[emoji23]
Mkuu wewe unaonekana una ugomvi na watu wasio na pesa. Hakuna mtu anaependa hali kama hiyo. Ila hali ya kipesa za watu. Acha dharau basi , shukuru una hiyo gari yako ya mjapan. πππ. Kuna watu humu wana gari very expensive kuliko yako na huwezi kuta wanadharau πππToyota IST unakuta imewaka taa ya check engine, shockup zinagonga, oil na filter zimepitiliza muda wake.
Mnajazana uoga na bado mnashindwa kuzimantain.
watu wanazisema sana, mm plan yangu ni kununua pikipiki cruiser isiyozidi milioni ishirini