Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Sub standard cars.

Gari za Toyota zinazoenda UK na US ni bora kuliko mnazozisifia zenu huku.

US, UK huwezi kuta hizo crown, brevis zenu.

Gari ikifika 150kph kinaanza kuswing, moyo unaanza kwenda mbio.
Alafu jamaa hata hawajiulizi kwanini rav 4 inayouzwa UK tofauti na bongo?
Tukubali tukatae sisi uwezo wa kumiliki Germany machine hatuna, tusitafute visingizio eti spares, mafuta dunia kijiji.
 
Kasoro German company BMW/ AUDI/ BENZ hawana diversity kulingana na geographical needs. Ukinunua BMW ya German ndio hiyo tunalazimisha kwenye hizi hizi bara bara zetu za Ubungo external. Gari mpaka inaisha haijawahi gonga 260km/ h kwenye dashboard
Hizo ni luxury brands kwani hata lexus pia ni hivi hivo.Halafu mtu kufananisha Toyota na BMW, Audi, Benz sio sawa,hizo inatakiwa zifananishwe na luxury arm ya Toyota ambayo ni lexus tena model kwa model.
 
Tunaweza funga huu mjadala wa TOYOTA, Tukaleta LEXUS vx German machine 😀 😀 😀 😀 😀
 
Watu hawaelewi[emoji23], BMWs na Benz kwenye engine bay kuna parts zimekua designed to fail baada ya muda fulani hata kama unalitunza vipi. Zikianza fail ni moja baada ya nyingine mpaka gari inashinda garage kuliko home, bado matatizo ya umeme kwa kuwa na sensor nyingi kuliko maelezo . Ulaya, USA,South Afrika gari ikiisha warrant tu anaicha na kuchukua nyingine au anahamia Toyota, Kia, Hyundai. Mtanzania ana nunua ugonjwa wa moyo na wallet BMW, Benz ya miaka 15 kweli.
Hiyo ni kashfa.

Wazungu hawawezi kukubali wajichafue kwa uzembe wa aina hiyo.

Emission standard case ya VW wamelipa fidia mabilioni ya kutosha.

Taasisi za viwango za US na Europe wakute unatengeneza spare za kuharibika baada ya miaka mitatu kabla hawajakufutia leseni.

Hizo kampuni zina reputation zao, haziji bahati mbaya.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sasa hapo hujaelewa nini mkuu ? Unazo ita sub standard ni kwa soko la watu wenye uchumi wa chini. Wameletewa kutokana na hali yao ya kiuchumi. Usiige kunya kwa tembo
Toyota IST unakuta imewaka taa ya check engine, shockup zinagonga, oil na filter zimepitiliza muda wake.

Mnajazana uoga na bado mnashindwa kuzimantain.
 
Toyota wanatengeneza models tofauti kwa masoko tofauti ndio maana kuna salon zipo Japan lakini haziko UK wala USA,pia kuna trucks zipo USA lakini haziko nchi nyingine. Hii sio kwa Toyota hata car makers wengine pia wanafanya kama Toyota.
Sawa.
 
cc buku 4 iyo ni fuso kaka 🤣 🤣 🤣 , yaani itakua sawasawa na mtu anaendesha fuso bila mzigo
Soma Specs hapo, ina engine ya V8, Engine Capacity 4000
 
Attachments

  • Screenshot_20210207-214105.png
    Screenshot_20210207-214105.png
    33.6 KB · Views: 1
Alafu jamaa hata hawajiulizi kwanini rav 4 inayouzwa UK tofauti na bongo?
Tukubali tukatae sisi uwezo wa kumiliki Germany machine hatuna, tusitafute visingizio eti spares, mafuta dunia kijiji.
Sasa inakuaje hata huko US ambako kuna matajiri kwny top 15 ya gari zinaouza kwa sana Bmw,Benz,VW ndio za mwisho kwa kuuza gari chache huku Toyota ikiwa ni ya 2 kwa kuuza gari nyingi?

Au wamarekani nao hawana uwezo wa kumiliki hizo Germany machines?
 
Toyota IST unakuta imewaka taa ya check engine, shockup zinagonga, oil na filter zimepitiliza muda wake.

Mnajazana uoga na bado mnashindwa kuzimantain.
Mkuu wewe unaonekana una ugomvi na watu wasio na pesa. Hakuna mtu anaependa hali kama hiyo. Ila hali ya kipesa za watu. Acha dharau basi , shukuru una hiyo gari yako ya mjapan. 😀😀😀. Kuna watu humu wana gari very expensive kuliko yako na huwezi kuta wanadharau 😀😀😀
 
Back
Top Bottom