Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Angali hii video jamaa anachambua kwanini usinunue used bmw,jamaa ni owner wa various Bima,Bima enthuathist,pia ni seller na mchambuzi wa magari.
Huyo jamaa anatumika na mabeberu aisee,acha wabongo tuendelea kumiliki ma Germany machines 😃😃😃😃😃.