Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Unazungumzia gari gani ? Maana mie na wewe hatwendi sawa, nazunguzmia japan general. Na wewe unalazimisha Toyota hata pia ukija kwenye toyota. Zipo toyota ambazo zina feature unazotaka ila bei yake nayo ipo juu.
 
Wazungu wanaendesha hayo ma bmw,benz kwa miaka 3 waranty ikiisha wana upgrade kwenda kwny gari latest,wabongo huku wamekomaa na bmw,benz za 2003 na bado wanavimba huku road wanakwambia Germany machines πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wazungu wanaendesha hayo ma bmw,benz kwa miaka 3 waranty ikiisha wana upgrade kwenda kwny gari latest,wabongo huku wamekomaa na bmw,benz za 2003 na bado wanavimba huku road wanakwambia Germany machines πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Acha tu ndugu yangu, mtu ana vimba humu utazani anaendesha BMW M4 ya mwaka 2018 ..
 

Inategemea unaendeaha pia gari gani ya mjapan na gari gani ya mjerumani.
 
Hio kitu naikubali kishenzi,nilikua nawaambia watu humu JF hio gari ndio competitor wa Series 7,S-class,Audi A8.

Na bei yake sio ya mchezo,mimi ningeichagua hio LS kuliko hizo gari nyingine hapo juu.

Huyu mnyama ni vile pesa hakuna tu ila kama ipo ni kumuweka road tu! Unakuwa na chombo mji mzima uko mwenyewe tu 😁😁😁 sijawahi ona hii gari road yeyote hapa Bongo!
 
View attachment 1696580
Huyu mnyama ni vile pesa hakuna tu ila kama ipo ni kumuweka road tu! Unakuwa na chombo mji mzima uko mwenyewe tu 😁😁😁 sijawahi ona hii gari road yeyote hapa Bongo!
Hii hao wajerumani wa jf.. wakikuona mimacho itawatoka kodooo.. kama wamefika mbingu ya saba πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
View attachment 1696580
Huyu mnyama ni vile pesa hakuna tu ila kama ipo ni kumuweka road tu! Unakuwa na chombo mji mzima uko mwenyewe tu [emoji16][emoji16][emoji16] sijawahi ona hii gari road yeyote hapa Bongo!
Duh mafisadi wakipiga hela sijui hawaonagi madude kama haya wayaweke road kutupa hasira wanyonge?

Mi mwenyewe hii sijaiona bongo kabisa,LS 2013 ndio nimeiona pale St.Petersburg church.
 
X3/X5?Tuko tunakomaa na 320i na c-180 za mwaka 2002 huko.
 
Wanakanda mbaya wakati bei ya hii gari ni balaa ni zaidi hata ya BMW kwenye used cars market
Nimeweka bei ya Lexus Ls, na BMW 7 series na AUDI A8 zote mwaka 2017.. zote hizo zimekatwa gape la hatari πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. German wa humu nitaanza waogopa wakianza kumiliki Ferrali au Roli Roizi.. maana kelel zao zote naona ni BMW na Benz na Volks wagen za mwaka 2008 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. ambazo hazina tofauti kuanzia bei na Crown.. ila wajapan wapole sana hawajivuni kabisa πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…