Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Mercedes benz ana Brabus, Toyota ana Lexus na Nissan ana Infinit (Hizo ni division tu lakini unyama ni ule ule)
 
Sasa kiwanda si kimoja 😝 hawa ndugu zetu vipi
 
Kumbe kumiliki vitz na Ist ni kumkosea mungu au nikosa kisheria? View attachment 1696538
Hapana mkuu, ni mawazo na kushauriana tu kwamba tubadilikeni, unapokwenda kununua gari na unapenda gari nzuri yenye kasi na comfortable tuacheni kusikiliza maneno ya kutuogopesha eti ni majini, lini tutamiliki vizuri ndugu zangu?
 
Wazungu wanaendesha hayo ma bmw,benz kwa miaka 3 waranty ikiisha wana upgrade kwenda kwny gari latest,wabongo huku wamekomaa na bmw,benz za 2003 na bado wanavimba huku road wanakwambia Germany machines πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Wazungu wanakimbilia kwenye warranty sababu magonjwa yatayojitokeza yanabebwa na kampuni kwa miaka hio mitatu na jamaa wa BMW walivyo wahuni yani wame target mule mule.

Uimara wa vipuri ni miaka mitatu tu ikivuka hapo kinaanza kufa kimoja baada ya kingine na spear zake ni ghali kinoma hivyo usipoliuza haraka likianza kukorofisha nje ya warranty utalia kilio cha paka 😁😁😁 mbaya zaidi liwe limevuka 100,000KMS utafurahishwa 😁!!!

Ndio maana hata kwenye used market unakuta gari imeporomoka by 55% toka kwenye bei ilionunuliwa ikiwa mpya.Ila Lexus ikishuka sana ni 10% kwa miaka mitatu! Ni kama ilivyo kwa iPhones tu!
 
Mkuu mjepu sijamdharau kabisa, Lexus ni mashine nakubaliana na wewe, umeninukuu vibaya mkuu.
Kwaiyo gari gani za kijapan ni nyonge ? Maana pia tambua Ulaya na wajaerumani wao pia wapo maskini nao wanaendesha BMW na Benz za kinyonge kama zilivyo Noah na Carina Ti za mjepu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na ndio hizi wajeruma wa Jf wana tuvimbia nazo huku πŸ˜€πŸ˜€
 
Shukrani mkuu...
 
Wajapan wadumu milele tu, πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Kuna gari kama Supra na Sklyne Gt za 1989 ila besi zake unanunua BMW X5 mpya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu inasikitisha, halafu bado watu wanaogopeshana na kuraririshana...
 
Ni kweli mkuu
 
Ona mambo ya mjapna.. gari ya 1990 ila unanunua BMW X5 mpya mbili na chenji ya bima inabaki na wese la kuzicheusa hadi kigoma kwenda na kurudi.. πŸ˜€πŸ˜€.. wanitagutie BMW ya 1990 yenye hii bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…