Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima


Mnyama wa ukweli sana
Hizi ndio ndinga sasa
 
Sie huku shida ni TRA . πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Kodi ni sawa na kununua gari mbili
 
Toleo la Toyota 2020 December
Toyota Mirai - Hii kuja kuingia Dodoma ni 2050 au isifike kabisa, TOYOTA kwenye Auto Industry ni mpana sana na wapinzani wake wakubwa ni Ford, Volkswagen, Hyundai, General Motors, na Nissan kwa mujibu wa mtandao wa What Competitors - . Hao akina BMW/AUDI/ BENZ wana mengi yakuifunza kutoka TOYOTA



 
Hii technolojia anayao Toyota pekee, kama akifanikiwa kuisambaza vyema ulimwenguni atakuwa na hela kama Elon Musk! Wakiua biashara ya mafuta by 2030 gari zitakazobaki ni hii ya Hydrogen fuel na za umeme tu!
 
Kwa mazingira ya tz Bora ununue Toyota ,kununua toyota haimaanishi kwamba hauna pesa Bali tunaangalia urahisi wa spare parts.
Kuna kipindi nilikuwa natoka namtumbo naenda dar kuna BMW niliona imeharibika ipo pembezoni mwa barabara nilipatwa na hisia Kali mno nikajisemea moyoni huyu mpaka ampate fundi +spare hii gari itakaa porini zaidi ya wiki,au aombe msaada livutwe na roli la mizigo.
Kuna magari ni mtihani kweli kweli
 
Yah ni mengi ya kuzingatia mkuu, kuna watu ambao wao usumbufu ni sehemu katika maisha yao ya hapa duniani 😝 tuwachukulie kwa haki tu kuwa wana uhuru japo kwa mwenye akili ataona ni upumbavu!

Why should i buy a problematic car while there are a lot of great choices out there!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…