Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Hahahah umeme huo umo Nissan uchawi aliotumiaga mpaka sasa haujulikani 😁
Najua hata wazungu wanazitamani sana 2JZ-GTE, na zingekuwa ni engine zao pasingekalika humu kwa povu zao πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. ila mjepu kaona sio case, kasitisha uzalishaji kama na mawe mengine πŸ˜€πŸ˜€
 
Sio gari tu hata mademu
1. Awe anapatikana muda wote
2. Asiwe na tumbo kubwa
3.Awe na kalio
4. Awe na sura nzuri
5. Awe hapendi kuombaomba hela(fuel consumption)
6. Awe mcha MUNGU
7. Awe amesoma
8. Awe anajua kupika
9................
10............
But all in all mipango sio matumizi hakuna anaezuia mwenzake kutaka anachokipenda best issue hujavunja sheria za Nchi.
 
Spare za toyota zile Og kabisa, bei zake zipo juu tu. Ila kama fekelo bei chee.. pia toyota spare zipo nyingi kwasababu gari zake ni nyingi, zikichoka watu wana chinja.. ila kama unataka spare og kabisisa za toyota zimeamka bei
 
Mkuu tukiweka mambo yote pembeni vitz sio gari nzuri kabisa...
 
US sio mchezo, kuna video moja niliona muscle moja nadhani ni dodge challenger, jamaa alikimbia helicopter haikuona kitu.
Nikasikia mtangazaji anasema "I think this is one of the first time where the vehicle is actually outrun the chopper
Utakuta ni V12 hilo dubwana😝😝😝 ila with 710 horses si mchezo
 
Hii technolojia anayao Toyota pekee, kama akifanikiwa kuisambaza vyema ulimwenguni atakuwa na hela kama Elon Musk! Wakiua biashara ya mafuta by 2030 gari zitakazobaki ni hii ya Hydrogen fuel na za umeme tu!
Wajeruman wa Jf wakisoma hii, wanajificha chini ya uvungu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sio uoga mkuu bei yake ni hatari, kuna moja jamaa kaipandisha hapo inauzwa 350M+ hapo bado kodi!

Hivi 350M ni IST ngapi? Ni Crown ngapi za 17M hapo? Ni Rumion ngapi? All packed in a single Car!
well said mkuu.........hio yard inayojongea....lakini tusiogope....tatizo tukipewa gari nzuri za bei nafuu, tunakimbia zinakula mafuta
 
Mkuu samahani sana kama nimekosa, najua nimegusa gari yako pendwa.
 
well said mkuu.........hio yard inayojongea....lakini tusiogope....tatizo tukipewa gari nzuri za bei nafuu, tunakimbia zinakula mafuta
Na gari nzuri zote zenye mbwembwe lazma zile mafuta sababu zinakuwaga nzito hivyo zinapewa engine kubwa sababu ya perfomance!
 
well said mkuu.........hio yard inayojongea....lakini tusiogope....tatizo tukipewa gari nzuri za bei nafuu, tunakimbia zinakula mafuta
Kuna majini, hizi zinazoletwa kwetu ni rafiki kabisa kwa mazingira yetu. Tulivyowapenda mitelezo BREVIS nae kaingizwa kwenye kundi la majini πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
NJIA PEKEE SAHIHI YA KUKABILIANA NA UCHAFUZI WA MAZINGIRA NI KUPUNGUZA MATUMIZI YA MAGARI CHAKAVU.

Wakati ambapo mataifa makubwa ulimwenguni yanaendelea kupigana vita ya kiuchumi kuhakikisha Dunia nzima inawaimba na kuwahusudu kwa kuwa vinara wa utandawazi, ndio wakati ambao pia watu ulimwenguni wanaendelea kuteseka kila kukicha kutokana na madhara yatokanayo na uharibifu wa Mazingira/hali Ya hewa.

Dunia inashudia kuwepo kwa kasi kubwa ya athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi. Ukame, magonjwa na kila aina ya madhira yatokanayo na shughuli za kibinaadamu katika uso wa dunia yamekuwa ndio matunda pekee walimwengu wanayo faidi.

Kumekuwa na kampeni nyingi mtaani na ulimwenguni za kuhamasisha upandaji wa miti ili kurejesha uoto wa asili katika uso wa Dania, ndio, ni njia mojawapo nyepesi kabisa hasa kwa raia wa mataifa ya ukanda wa jangwa la Sahara ya kukabikiana na tatizo hili.

Lakini, Wakati juhudi zote zenye kufanana na hizo zikiendelea kuchukuliwa ni wakati sasa kwa serikali zetu kuanza kujitathimini na kuchukua hatua za kukabiliana na uharibifu huu kwa kuweka mipango elekezi ya kushughulikia matumizi ya magari 'chakavu' barabarani kwani kwa kiwango kikubwa huchangia uharibifu wa Mazingira.

Nafarijika sana na juhudi za serikali ya India 'Delhi' kwa kuwa mfano wa Dunia katika makabiliano dhidi ya madhira ya mabadiliko ya tabianchi #ClimateChange naamini India wameanza leo kesho ni Africa, keshokutwa ni Tanzania.


 
Sio uoga mkuu bei yake ni hatari, kuna moja jamaa kaipandisha hapo inauzwa 350M+ hapo bado kodi!

Hivi 350M ni IST ngapi? Ni Crown ngapi za 17M hapo? Ni Rumion ngapi? All packed in a single Car!
Kwa hiyo pesa unapata BWM X5 mbili, na chenji inabaki.. na kama Crown matata, hapo unapata mbili, kwa IST unafungua Showroom πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakati India wanahamia katika umeme huku sie ndio tunatafuta explorers waje kuchimba mafuta 😝😝😝 by 2030 ICE zitakuwa phased out na gari zote ulaya zinatazamiwa kuwa za umeme tu!
 

Naomba uweke sifa mbili tu ZA KIUFUNDI zinazotakiwa zitumike kuamua kuwa hili gari sasa ni chakavu...
 
Vipi kuhusu uimara?Tayota anaweza kumfikia BMW kwa uimara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…