Kuna jamaa wapo humu, kwenye ukoo wao ndiyo wamefanikiwa kununua hivyo vi BEBIWOKA, basi wana hasira sana wakiona hilo nenno kwamba vinadharauliwa, 😂!.Kurekebisha hiyo chuma, unanunua hivi vi BEBIWOKA vyetu
Wasikasirike ndio ukweli, maisha kutofautina, kuna watu wana mandinga, kuna watu wana magari, kuna watu wana vibebi woka, kuna watu pikipiki, wapo wa bodaboda, wapo wa baiskeli, mpaka wa miguuKuna jamaa wapo humu, kwenye ukoo wao ndiyo wamefanikiwa kununua hivyo vi BEBIWOKA, basi wana hasira sana wakiona hilo nenno kwamba vinadharauliwa, 😂!.
Maisha haya we acha tu, sisi tunasindikiza wenzetu 😂🤣Na chenji juu...
Lazima tuwepo ili kuleta maana halisi ya maisha... hahahahMaisha haya we acha tu, sisi tunasindikiza wenzetu 😂🤣
Swadakta, mtu akilijua hilo ataishi kwa amani saanaLazima tuwepo ili kuleta maana halisi ya maisha... hahahah
Hasara roho lo pesa inatafutwa kivyovyote vile
Kwa hizohizo bukubuku zenu?Gari kama ya Mange Kimambe...
Tajiri aliwezaje kuchaguliwa na masikini walio hoi ambao hawawezi kupata milo miwili kwa siku! Tanzania nchi iliyolaaniwa.
Utajiri waliojijengea wabunge ndio umewatia kiburi cha kutotutembelea majimboni, wanatuona masikini hatufai kuwa karibu nao.Kwahy ilibidi wamchague maskin mwenzao ili akatajirike huko siasan huku wao wanaendelea kusota sio?
Aisee.. TRA wanagawana hela sawa na mtengenezaji! Ndio maana hawaoni sababu ya kuunda viwanda vya magariMkuu sijui hio ya Mbunge ni version ipi. ila
2024 G63 AMG V8 Bi-Turbo ni $183,000 ambayo ni Tzs 475m
TRA wanachukua kodi 435m
Hapo jumla 900m+
Kama alinunua mpya na ni G63 AMG.
Hozo hiozi mzee babaKwa hizohizo bukubuku zenu?
Kitu V12G Class hio nadhani itakua 63... biturbo, horsepower kama 585..
Hizi gari kwa barabara za bongo ni hatari tupu.. gari inaondoka kama inataka kupaa..