Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

Nimeipenda beibyy πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
Mapacha siwataki ila ntadabo mwaka mtoto, mwaka mimba 😜
Sasa na pension sichukui acha niongeze mkataba tu maana naona oda za nepi zinakuja kila mwaka
Watoto ni Baraka yaani kila unapoongeza na hela zinaongezeka tu maana unapiga kazi kama hakuna serikali πŸ˜„
 
🀣🀣🀣🀣🀣 kabisaa daddie
 
🀣🀣🀣🀣 hatarii bff mapema sana, nimechoka kero za dungadunga kwenye mwendokasi
Basi ngoja nitulie utakuwa unanipa lift kwenye G wagon yako si eti πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…