Winnie Winnie
Senior Member
- Aug 23, 2024
- 132
- 293
- Thread starter
-
- #61
Jumla na ya ufundi imekula milioni 1.3 kufunga mswaki, halafu mafundi walioharibu wao waliharibu ili wapate ya dagaa yaani yanauziExactly na ndio kilichokupata Rafiki! Unajua mswaki WA Sienta kama sijakosea inacheza Kati ya 900,000 Hadi 1.2m hapo, na nashawishika bado kuwa kuna foul ulichezewa na hao mafundi.
Gari haipo mbeya hiyo ingekua Mbeya hizo tairi rangi ni ya Vumbi sio nyeusi kama hapo..Tiles hazina vumbi kabisaaView attachment 3079752
Mwamba wangu huyu hapa hata mafuta ya kula naweka na misele kama kawaida.
Ishaacha hata kusoma mileage.
Kwani kuna sehemu imeandikwa ipo Mbeya???Gari haipo mbeya hiyo ingekua Mbeya hizo tairi rangi ni ya Vumbi sio nyeusi kama hapo..Tiles hazina vumbi kabisaa
Halipo Tanzania over..Kwani kuna sehemu imeandikwa ipo Mbeya???
Hiyo ya kubebea vyakula vya nguruweGari haipo mbeya hiyo ingekua Mbeya hizo tairi rangi ni ya Vumbi sio nyeusi kama hapo..Tiles hazina vumbi kabisaa
Au sio? Basi heri mzeeHalipo Tanzania over..
Pole sana Ndugu yangu wa JFJumla na ya ufundi imekula milioni 1.3 kufunga mswaki, halafu mafundi walioharibu wao waliharibu ili wapate ya dagaa yaani yanauzi
Asante nduguPole sana Ndugu yangu wa JF
Sienta sio gari. I'm sorrySienta
Sio gari ni nini sasa acha ujinga kama huna ushauri pita kushotoSienta sio gari. I'm sorry
Sienta ni chombo cha Moto Kama zilivyo Toyota, Fekon au SANLGSio gari ni nini sasa acha ujinga kama huna ushauri pita kushoto
hiyo weka 5W 40 (kama upo Dar kwenye joto) hiyo 5w 30 ni nzuri pia ila recommended kwa sehemu za baridi. Ukiweka na filter nzuri, unatembea hata kms 5000 ndio ubadilisheGari ni Sienta
hiyo weka 5W 40 (kama upo Dar kwenye joto) hiyo 5w 30 ni nzuri pia ila recommended kwa sehemu za baridi. Ukiweka na filter nzuri, unatembea hata kms 5000 ndio ubadilishe
Na safari ndefu pia unakwendaGari yangu ina zaidi ya 200,000 km ni cc1000 na mpka leo naweka recommended oil 5w30 na ina kwenda poa kama mpya, japo kidogo ina moshi najua si muda itabidi tu nibadili oil seal, kwenye suala la oil mie ndio huwafundisha mafundi.
Huna akiliSienta ni chombo cha Moto Kama zilivyo Toyota, Fekon au SANLG
Engineer wa Tundu Lissu hoursKwanza kwa vyovyote kugonga kwa gari yako hakukuwa na lolote la kufanya na oil iliyowekwa.
Kugonga mara nyingi husababishwa na engine kuingia hewa na impurities hasa za vyuma vyuma kwenye combustion chamber.
Kuendelea kutumia oil hiyo uliyoitaja haina shida ila hakikisha air filter iko vizuri:
"kwamba inasafishwa vizuri na ukiweza kupata mbadala (mpya) ni bora zaidi."
Engineer wa Tundu Lissu hours
Kama ni gari ndogo (sedan na SUV), tumia oils zenye viscosity kati ya 20 na 30, kwa mfano 5W-20 au 10W-30; ukizidisha kuanzia 40 utaharibu injini yako. Kama ni trekta au gari kubwa kwa mfano roli la tani 12 hivi unaweza kutumia viscosity kubwa kuanzia 40 hadi 50Habari za mchana watu wangu
Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50)
Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
Asante sana yaani mafundi waliniwekea 20w-50 aisee engine ikaharibikaKama ni gari ndogo (sedan na SUV), tumia oils zenye viscosity kati ya 20 na 30, kwa mfano 5W-20 au 10W-30; ukizidisha kuanzia 40 utaharibu injini yako. Kama ni trekta au gari kubwa kwa mfano roli la tani 12 hivi bunaweza kutumia viscosity kubwa kuanzia 40 hadi 50