20W50 ππππHabari za mchana watu wangu
Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50)
Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
Ndo uuze gari kwa sababu ya kilometa nyingi wewe naye kuna watu wana zaidi ya kilometa 200,000 na wanazo zinatembea kama mpya20W50 ππππ
Angalau wangekuwekea 5W40 kama ni saloon.
Hizo km nyingi sana. Hiyo gari uza nunua yenye km chini ya 70,000
Hakili huna.Ndo uuze gari kwa sababu ya kilometa nyingi wewe naye kuna watu wana zaidi ya kilometa 200,000 na wanazo zinatembea kama mpya
Unanishauri kama nani unavamia uzi akili huna na wewe nikikuambia uuze nyumba yako utauza,nimeomba ushauri wa oil sio kuuza gari kichwa maji weweHakili huna.
Gari inakusumbua, nakushauri uiuze alafu unajifanya mjuwaji kumbe ni 0 BRAIN.
Utakuta gari ina km zaidi ya laki 2 na sio hiyo uliyoandika hapo.Unanishauri kama nani unavamia uzi akili huna na wewe nikikuambia uuze nyumba yako utauza,nimeomba ushauri wa oil sio kuuza gari kichwa maji wewe
Jinga kweli kwahiyo wewe unajua sijawahi kusafiri nayo eti gari isifike hata moro na wewe ni mtu wa fb umekuja tu rudi ulikotoka, kwahiyo waliochangia huu uzi wote ni wajinga wewe ndiyo una akili rudi facebookunazalau ushauli wa kubadilisha gari..lakini kwa ilichosema hapa ni sahihi kubadirisha angalau injini yote na uweke injini mpya kama hutaki kubadilisha gari.
maana hiyo gari kwa safari ukianzia dar hata moro hufiki itakua onachemsha.
kuhusu oil soma kwenye hiyo stick ya kupimia oil wameandika hapo.
Naona mpaka sasa wew ndio umeongelea kinacho hitajika hasa kuhusu OilGari yangu ina zaidi ya 200,000 km ni cc1000 na mpka leo naweka recommended oil 5w30 na ina kwenda poa kama mpya, japo kidogo ina moshi najua si muda itabidi tu nibadili oil seal, kwenye suala la oil mie ndio huwafundisha mafundi.
Nimekuuliza, nipe jibu nione utaahira wako Winnie Winnie !Utakuta gari ina km zaidi ya laki 2 na sio hiyo uliyoandika hapo.
Unafahamu jinsi ya kuangalia km ya mara ya mwisho ilipofanyiwa ukaguzi ikiwa Japan?
Akili huna rudi facebookNimekuuliza, nipe jibu nione utaahira wako Winnie Winnie !
Hutaki kuonyesha utaahira wako.Akili huna rudi facebook
Unaitwa kitimoto halafu nikupe chassis kwenda uko sibishani na wajinga hapa nimeomba ushauri wa oilHutaki kuonyesha utaahira wako.
Ebu nipe chassis namba ya ilo gari lako lenye km 140,000+
Weka SAE 40 π€£π€£π€£π€£Unaitwa kitimoto halafu nikupe chassis kwenda uko sibishani na wajinga hapa nimeomba ushauri wa oil
Hahaha..mkuu umenichekeshaView attachment 3079752
Mwamba wangu huyu hapa hata mafuta ya kula naweka na misele kama kawaida.
Ishaacha hata kusoma mileage.
JituMirabaMinneHabari za mchana watu wangu
Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50)
Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
yaani wewe mwanachama wa juzi ijumaa. unatukana watu.Jinga kweli kwahiyo wewe unajua sijawahi kusafiri nayo eti gari isifike hata moro na wewe ni mtu wa fb umekuja tu rudi ulikotoka, kwahiyo waliochangia huu uzi wote ni wajinga wewe ndiyo una akili rudi facebook
Asante ndugu nimeshaweka oil 5w-30 gari imekuwa poa sana inakimbia kama mpya kabisa, ila nitapita na huko kwa miraba minne nijifunze zaidiJituMirabaMinne
Mtafute huyu member akusaidie kumaliza tatizo lako, wengine humu ni MIYEYUSHO.
Unaweza pitia nyuzi zake kujiridhisha kabla hujamtafuta
JituMirabaMinne
0621 221 606
Asante.
Ndio wewe uliyetoka kwenye kile kiduka kununua hiyo oil! ππππAsante ndugu nimeshaweka oil 5w-30 gari imekuwa poa sana inakimbia kama mpya kabisa, ila nitapita na huko kwa miraba minne nijifunze zaidi
Wewe ni kitimoto kabisa na soon tutakula maana unajifanya kila kitu unajuaNdio wewe uliyotoka kwenye kile kiduka kununua hiyo oil! ππππ
Baada ya muda uje utupe mrejesho
Hao ndo hupigwa na vitu vizito..Kilometer watu hubadilisha ndani ya muda dakika 10 tu.Ndo uuze gari kwa sababu ya kilometa nyingi wewe naye kuna watu wana zaidi ya kilometa 200,000 na wanazo zinatembea kama mpya