Gari yangu inakimbia sana!

Yani kichwa chako Smahan lakin kimejaa Mavi Matupu![emoji1][emoji3][emoji1]
Garj yenye 1290cc yenye horse power ndogo iweze lmkushinda garj zenye 1490cc plus ambazo zina horse power 110+ then ushinde gar zenye 1990cc ambazo house power yake ni kubwa Mno ukilinganisha na hicho Kipasso chako.
Kubwa serious Brother na Mambo ya barabaran.
Sorry km nimkukwaza [emoji120][emoji120][emoji120]
Nimeanza na Uwezo wa gari ulizozitaja Vs Passo yako interms of Power nk
 
Labda sijaelewa
1. Watizama gari na kuona waweza enda nalo sawa, jambo usilozingatia ni mwendeshajii endapo ana nia ya ushindani ama anapenda mwendo kasi aonao unamfaa kwa wakati huo
2. Uzoefu wa bara na kadhia zake.
3. Sifa za kijinga barabarani
 
Wewe jamaa kuna kipimo inabidi tukufanyie
 
Usingeipa Subaru heshima yake nisingesoma hata uzi wako🏃🏃
 

Una nut loose mahali
 
Siku nenda morogoro tu hapo tena mida ya usiku ambapo tochi zipo kwa machale kisha utaleta mrejesho, kuna raia wanatembea mzee

Nishawahi tembea mshale upo kwenye 150 naitafuta Mji Kasoro mida kama ya saa 3 tu na ushee kidogo usiku, lakini nilipitwa kama nimesimama, acha kabisa Tanzania kuna raia wanakanyaga gia ukitaka ligi utaumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…