Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani kichwa chako Smahan lakin kimejaa Mavi Matupu![emoji1][emoji3][emoji1]Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee.
Gari yenyewe ujue ni gari gani basi?
Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya mwaka 2007.
Kwa data nilizonazo (kwa kipindi cha miezi mitatu), nimegundua yafuatayo:
A: Gari nazozionea road, nawakimbiza nawaachia vumbi:
- IST zote
- Sienta, Raum, Runx, Allex, Swift, Nadia, Voltz (tuseme babywoka zote za Toyota)
- Premio na mwenzie Allion
- Nissan Dualis na X-trail
- Rumion
- RAV4 zote (isipokua lile toleo jipya linatumiwa na gari za serikali na ile Hybrid)
B: Gari ambazo nimeshindwa kufukuzana nazo:
C: Gari nazokwenda nazo ugoko kwa ugoko:
- Subaru Forester (model karibu zote)
- Ford Ranger (hii gari noma)
- Toyota Hilux
- Landcruiser (VX na jamii yake)
- ALPHARD (toleo jipya)
- Toyota Fortune
- Discovery
- BMW (japo kuna baadhi navimbiana nao)
- Toyota Crown
- Brevis
- Harrier na Vanguard
- Range Rover
- Subaru Impreza
Sasa hivi focus yangu nijipime na kina Audi, Benz, Volkswagen and the like. Tatizo European cars nazokutana nazo barabarani ni chache sana. Halafu huwa nakutana nazo mida ambayo sipo kwenye kuanzisha ligi.
Changamoto nayopata ni gari inachelewa kuchanganya. Hasa pale taa zikiruhusu ndio wengi wanaponipiga bao. Lakini ikishachanganya nawapoteza karibu wote (ukitoa hao wa kwenye kundi B).
View attachment 2738606
Wewe jamaa kuna kipimo inabidi tukufanyieKuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee.
Gari yenyewe ujue ni gari gani basi?
Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya mwaka 2007.
Kwa data nilizonazo (kwa kipindi cha miezi mitatu), nimegundua yafuatayo:
A: Gari nazozionea road, nawakimbiza nawaachia vumbi:
- IST zote
- Sienta, Raum, Runx, Allex, Swift, Nadia, Voltz (tuseme babywoka zote za Toyota)
- Premio na mwenzie Allion
- Nissan Dualis na X-trail
- Rumion
- RAV4 zote (isipokua lile toleo jipya linatumiwa na gari za serikali na ile Hybrid)
B: Gari ambazo nimeshindwa kufukuzana nazo:
C: Gari nazokwenda nazo ugoko kwa ugoko:
- Subaru Forester (model karibu zote)
- Ford Ranger (hii gari noma)
- Toyota Hilux
- Landcruiser (VX na jamii yake)
- ALPHARD (toleo jipya)
- Toyota Fortune
- Discovery
- BMW (japo kuna baadhi navimbiana nao)
- Toyota Crown
- Brevis
- Harrier na Vanguard
- Range Rover
- Subaru Impreza
Sasa hivi focus yangu nijipime na kina Audi, Benz, Volkswagen and the like. Tatizo European cars nazokutana nazo barabarani ni chache sana. Halafu huwa nakutana nazo mida ambayo sipo kwenye kuanzisha ligi.
Changamoto nayopata ni gari inachelewa kuchanganya. Hasa pale taa zikiruhusu ndio wengi wanaponipiga bao. Lakini ikishachanganya nawapoteza karibu wote (ukitoa hao wa kwenye kundi B).
View attachment 2738606
Bajaji tu ikiamua inamuacha mbali na ka passo kake.. 😆😆Wish mbona umeenda mbali sana,
Usingeipa Subaru heshima yake nisingesoma hata uzi wako🏃🏃Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee.
Gari yenyewe ujue ni gari gani basi?
Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya mwaka 2007.
Kwa data nilizonazo (kwa kipindi cha miezi mitatu), nimegundua yafuatayo:
A: Gari nazozionea road, nawakimbiza nawaachia vumbi:
- IST zote
- Sienta, Raum, Runx, Allex, Swift, Nadia, Voltz (tuseme babywoka zote za Toyota)
- Premio na mwenzie Allion
- Nissan Dualis na X-trail
- Rumion
- RAV4 zote (isipokua lile toleo jipya linatumiwa na gari za serikali na ile Hybrid)
B: Gari ambazo nimeshindwa kufukuzana nazo:
C: Gari nazokwenda nazo ugoko kwa ugoko:
- Subaru Forester (model karibu zote)
- Ford Ranger (hii gari noma)
- Toyota Hilux
- Landcruiser (VX na jamii yake)
- ALPHARD (toleo jipya)
- Toyota Fortune
- Discovery
- BMW (japo kuna baadhi navimbiana nao)
- Toyota Crown
- Brevis
- Harrier na Vanguard
- Range Rover
- Subaru Impreza
Sasa hivi focus yangu nijipime na kina Audi, Benz, Volkswagen and the like. Tatizo European cars nazokutana nazo barabarani ni chache sana. Halafu huwa nakutana nazo mida ambayo sipo kwenye kuanzisha ligi.
Changamoto nayopata ni gari inachelewa kuchanganya. Hasa pale taa zikiruhusu ndio wengi wanaponipiga bao. Lakini ikishachanganya nawapoteza karibu wote (ukitoa hao wa kwenye kundi B).
View attachment 2738606
Watu wanapeleka watoto shule asubuhi jamaa akiwapita anakuja kutamba humu! 😆😆Eti, mtu anaendesha kwa mwendo wake, barabarani, amkipita tayari gari yake inakimbia kuliko zingine.
Upo sahihi kabisaa mkuuHuu uzi nadhani ni wa changamsha genge tu
Iwapo anashindana na Subaru barabarani inaonyesha kachoka kuishi ama anaingia barabarani akiwa amepanda juu ya meza🍺🍻😂Kifo kinakuita
Akiwapita waenda sokoni kununua nyanya,anapandisha uzi jukwaani au🤔Watu wanapeleka watoto shule asubuhi jamaa akiwapita anakuja kutamba humu! 😆😆
Hizo gari zote alizotaja hakuna hata moja ambayo passo inaweza kuivimbia 😆Akiwapita waenda sokoni kununua nyanya,anapandisha uzi jukwaani au🤔
Pombe sio sigara, pombe sio sigara sijui ninini 😂😂😂Iwapo anashindana na Subaru barabarani inaonyesha kachoka kuishi ama anaingia barabarani akiwa amepanda juu ya meza🍺🍻😂
Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee.
Gari yenyewe ujue ni gari gani basi?
Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya mwaka 2007.
Kwa data nilizonazo (kwa kipindi cha miezi mitatu), nimegundua yafuatayo:
A: Gari nazozionea road, nawakimbiza nawaachia vumbi:
- IST zote
- Sienta, Raum, Runx, Allex, Swift, Nadia, Voltz (tuseme babywoka zote za Toyota)
- Premio na mwenzie Allion
- Nissan Dualis na X-trail
- Rumion
- RAV4 zote (isipokua lile toleo jipya linatumiwa na gari za serikali na ile Hybrid)
B: Gari ambazo nimeshindwa kufukuzana nazo:
C: Gari nazokwenda nazo ugoko kwa ugoko:
- Subaru Forester (model karibu zote)
- Ford Ranger (hii gari noma)
- Toyota Hilux
- Landcruiser (VX na jamii yake)
- ALPHARD (toleo jipya)
- Toyota Fortune
- Discovery
- BMW (japo kuna baadhi navimbiana nao)
- Toyota Crown
- Brevis
- Harrier na Vanguard
- Range Rover
- Subaru Impreza
Sasa hivi focus yangu nijipime na kina Audi, Benz, Volkswagen and the like. Tatizo European cars nazokutana nazo barabarani ni chache sana. Halafu huwa nakutana nazo mida ambayo sipo kwenye kuanzisha ligi.
Changamoto nayopata ni gari inachelewa kuchanganya. Hasa pale taa zikiruhusu ndio wengi wanaponipiga bao. Lakini ikishachanganya nawapoteza karibu wote (ukitoa hao wa kwenye kundi B).
View attachment 2738606
Hapo ndipo ile maana ya mtu chake inapokuja🤸🤸🤸🤸Hizo gari zote alizotaja hakuna hata moja ambayo passo inaweza kuivimbia 😆