Gari yangu inakimbia sana!

umejitafutia sifa, majigambo...... sehemu yenyewe uliyotumia kama kipimo, ulikuwa unawafanyia timing bila wao kujua.. Tafuta kiwanja halisi, ndio uje utafute kujitapa hapa
 
Passo ni piston 3 yaani cc 990 .. Toyo iliyochangamka anajipa moyo sana .. harrier cc 2490 anadai anaenda nayo sawa 😁
 
huyu nazani ameendesha mara ya kwanza hako kapaso ka shemeji safari ndefu ya km 30 ndo anazani kanakimbia sana labda kushinda kirikuu alivyozoea
 
Utoto unakusumbua!
Kwahiyo ukishayapita hayo magari ya kundi A na kuyaachia vumbi (kwenye barabara ya lami) roho yako inafarijika?
 
Mimi tu nina SUBARU FORESTER 2013 but siwezi kutamba maana Mark X tu inanisumbua je hizo BMW, BENZ, VW nitaziweza?
Halafu unakuja na Passo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Passo ni piston 3 yaani cc 990 .. Toyo iliyochangamka anajipa moyo sana .. harrier cc 2490 anadai anaenda nayo sawa [emoji16]
Mkuu achana na mambo ya cc land cruiser l200 zipo zenye cc hadi 5700 tena V8 lkn imezidiwa kila kitu na l300 ya petrol V6 yenye cc3500.
 
Njoo nikukutanishe na Toyota Altezza... Alafu ndio utajua kama kweli wewe bado sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani huwa mnakubaliana mshindane?
 
Kwa hao unao amini hawatoboi kwako, fanya tu kutumia busara sikumoja umeambie mwende ligi🀣🀣
Nakuapia ukirudi lazima utaufuta huu uzi!! Tena usiku wa 8 ukiwa upo hoi maana najuwa gari muda huo itakuwa ipo gerage.πŸ™†πŸ»β€β™‚οΈπŸ™†πŸ»β€β™‚οΈ
 
Mkuu achana na mambo ya cc land cruiser l200 zipo zenye cc hadi 5700 tena V8 lkn imezidiwa kila kitu na l300 ya petrol V6 yenye cc3500.

Uko sahihi! Hata mazda rx8 ya cc1300 inawakalisha akina brevis.

lakini kama mtaalamu wa magari unaamini hako ka passo kanamkalisha vanguard?
 
Unajua nimegundua watu wanakuwaga na kelele sana wakiwa hawako comfortable na maisha yaoπŸ˜‚πŸ˜‚

Hata club wanabreak dance na makelele meengi huwa mara nyingi uchumi ni wa chini sana

Yani si kwa ubaya ila
Passo is like entry car to car owners boss

Ila taizi zake ulizopiga hapa wa subaru na ma tiguan hawajawahi kwa kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uko sahihi! Hata mazda rx8 ya cc1300 inawakalisha akina brevis.

lakini kama mtaalamu wa magari unaamini hako ka passo kanamkalisha vanguard?
Hapana passo injini ndogo hp ndogo,nilichomkosoa jamaa ni juu ya ulinganifu wake kwenye CC wakati sasa hivi teknolojia imebadilika kuna vitu vingine vya kitaalam nje ya engine displacement inabidi viangaliwe.Mfano defender tdi ina cc2495 kutokana na kuwa na turbo inaitoa jasho LC ya 1hz yenye cc4200.Gari zinaweza kuwa na injini moja lkn moja ikaizidi nyingine kutokana na uzito wa body.1hz ikiwa kwenye coaster haiwezi kukimbia kama ikiwa kwenye lc hardtop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…