Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kwenye passo yake!Na tusio na magari tunakomenti wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye passo yake!Na tusio na magari tunakomenti wapi?
Humu humu😂Na tusio na magari tunakomenti wapi?
Kabisa...na kingine piaUna maana afya ya akili!
Passo ni piston 3 yaani cc 990 .. Toyo iliyochangamka anajipa moyo sana .. harrier cc 2490 anadai anaenda nayo sawa 😁Yani kichwa chako Smahan lakin kimejaa Mavi Matupu![emoji1][emoji3][emoji1]
Garj yenye 1290cc yenye horse power ndogo iweze lmkushinda garj zenye 1490cc plus ambazo zina horse power 110+ then ushinde gar zenye 1990cc ambazo house power yake ni kubwa Mno ukilinganisha na hicho Kipasso chako.
Kubwa serious Brother na Mambo ya barabaran.
Sorry km nimkukwaza [emoji120][emoji120][emoji120]
Nimeanza na Uwezo wa gari ulizozitaja Vs Passo yako interms of Power nk
Aisee umetisha mkuu [emoji3]
Utoto unakusumbua!Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee.
Gari yenyewe ujue ni gari gani basi?
Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya mwaka 2007.
Kwa data nilizonazo (kwa kipindi cha miezi mitatu), nimegundua yafuatayo:
A: Gari nazozionea road, nawakimbiza nawaachia vumbi:
- IST zote
- Sienta, Raum, Runx, Allex, Swift, Nadia, Voltz (tuseme babywoka zote za Toyota)
- Premio na mwenzie Allion
- Nissan Dualis na X-trail
- Rumion
- RAV4 zote (isipokua lile toleo jipya linatumiwa na gari za serikali na ile Hybrid)
B: Gari ambazo nimeshindwa kufukuzana nazo:
C: Gari nazokwenda nazo ugoko kwa ugoko:
- Subaru Forester (model karibu zote)
- Ford Ranger (hii gari noma)
- Toyota Hilux
- Landcruiser (VX na jamii yake)
- ALPHARD (toleo jipya)
- Toyota Fortune
- Discovery
- BMW (japo kuna baadhi navimbiana nao)
- Toyota Crown
- Brevis
- Harrier na Vanguard
- Range Rover
- Subaru Impreza
Sasa hivi focus yangu nijipime na kina Audi, Benz, Volkswagen and the like. Tatizo European cars nazokutana nazo barabarani ni chache sana. Halafu huwa nakutana nazo mida ambayo sipo kwenye kuanzisha ligi.
Changamoto nayopata ni gari inachelewa kuchanganya. Hasa pale taa zikiruhusu ndio wengi wanaponipiga bao. Lakini ikishachanganya nawapoteza karibu wote (ukitoa hao wa kwenye kundi B).
View attachment 2738606
Mkuu achana na mambo ya cc land cruiser l200 zipo zenye cc hadi 5700 tena V8 lkn imezidiwa kila kitu na l300 ya petrol V6 yenye cc3500.Passo ni piston 3 yaani cc 990 .. Toyo iliyochangamka anajipa moyo sana .. harrier cc 2490 anadai anaenda nayo sawa [emoji16]
Passo=wheelbarrowNimeshangaa sana, Rav 4 hata zile Old zina mwendo sana.
Kwani huwa mnakubaliana mshindane?Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee.
Gari yenyewe ujue ni gari gani basi?
Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya mwaka 2007.
Kwa data nilizonazo (kwa kipindi cha miezi mitatu), nimegundua yafuatayo:
A: Gari nazozionea road, nawakimbiza nawaachia vumbi:
- IST zote
- Sienta, Raum, Runx, Allex, Swift, Nadia, Voltz (tuseme babywoka zote za Toyota)
- Premio na mwenzie Allion
- Nissan Dualis na X-trail
- Rumion
- RAV4 zote (isipokua lile toleo jipya linatumiwa na gari za serikali na ile Hybrid)
B: Gari ambazo nimeshindwa kufukuzana nazo:
C: Gari nazokwenda nazo ugoko kwa ugoko:
- Subaru Forester (model karibu zote)
- Ford Ranger (hii gari noma)
- Toyota Hilux
- Landcruiser (VX na jamii yake)
- ALPHARD (toleo jipya)
- Toyota Fortune
- Discovery
- BMW (japo kuna baadhi navimbiana nao)
- Toyota Crown
- Brevis
- Harrier na Vanguard
- Range Rover
- Subaru Impreza
Sasa hivi focus yangu nijipime na kina Audi, Benz, Volkswagen and the like. Tatizo European cars nazokutana nazo barabarani ni chache sana. Halafu huwa nakutana nazo mida ambayo sipo kwenye kuanzisha ligi.
Changamoto nayopata ni gari inachelewa kuchanganya. Hasa pale taa zikiruhusu ndio wengi wanaponipiga bao. Lakini ikishachanganya nawapoteza karibu wote (ukitoa hao wa kwenye kundi B).
View attachment 2738606
Mkuu achana na mambo ya cc land cruiser l200 zipo zenye cc hadi 5700 tena V8 lkn imezidiwa kila kitu na l300 ya petrol V6 yenye cc3500.
Hapana passo injini ndogo hp ndogo,nilichomkosoa jamaa ni juu ya ulinganifu wake kwenye CC wakati sasa hivi teknolojia imebadilika kuna vitu vingine vya kitaalam nje ya engine displacement inabidi viangaliwe.Mfano defender tdi ina cc2495 kutokana na kuwa na turbo inaitoa jasho LC ya 1hz yenye cc4200.Gari zinaweza kuwa na injini moja lkn moja ikaizidi nyingine kutokana na uzito wa body.1hz ikiwa kwenye coaster haiwezi kukimbia kama ikiwa kwenye lc hardtop.Uko sahihi! Hata mazda rx8 ya cc1300 inawakalisha akina brevis.
lakini kama mtaalamu wa magari unaamini hako ka passo kanamkalisha vanguard?