Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #381
Sajo...mtu yeyeto anayeipenda Tanzania lazima atagadhabika na uchochezi unaoufanya
Nashukuru sana kwa maelezo yako mazuri.Reginald...
Bei ni Shs: 10,000.00.
Kipo cha Kiingereza na cha Kiswahili.
Nunua ukisome hiki kitabu kina mengi sana ambayo wengi hawakuwa wanayajua katika hitoria ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Nakushauri ununue cha Kiswahili kwa kuwa baada ya kutoka kitabu 1998 kabla Mzee Tewa Said Tewa hajafa aliniita nyumbani kwake akanipa faili.
Nilikuwa nimezungumza mengi na Mzee Tewa lakini alikuwa mengine hakuniambia.
Kilipotoka kitabu alibadili fikra akaamua kunipa hilo faili ili nisome yale ambayo yeye alifanya siri kwa wakati ule.
Hakuchukua muda baada ya kunipa lile faili Mzee Tewa akafariki dunia.
Mwaka wa 2002 ikachapwa tafsiri ya Kiswahili na humo ndimo nilipoandika haya niliyotoa katika faili la Mzee Tewa.
View attachment 1991500
Reg.Nashukuru sana kwa maelezo yako mazuri.
Kwa sasa nipo Kanda Ya Ziwa hapa Mwanza, Utaratibu wa kukipata ukoje?
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limemtaja mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule kuwa ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021.GAUDENSIA KABAKA MWENYEKITI WA UWT?
Mwenyekiti wa UWT Gaudensia Kabaka ndiye aliyehusika kuwafukuza Waislam 11 Chuo Kikuu cha Dodoma na kusimamisha ujenzi wa msikiti hapo chuoni ambao ujenzi wake ulishaidhinishwa.
Leo yupo katika sherehe za kumuenzi Bi. Titi Mohamed.
Huyu ndiye kiongozi aliyewafukuza wajukuu wa Bi. Titi hapo chuoni na kuzuia ujenzi wa msikiti.
Kwa yale aliyopigania Bi. Titi Mohamed na wanawake wote katika TANU ya enzi zile huu ni msiba mkubwa.
Huyu Mama hastahili kuongoza wala kunasibishwa na umoja huu ulioasisiwa na mama zetu akina Bi. Titi, Bi. Hawa bint Maftah, Bi. Zarula bint Abdulrahman kwa kuwataja wachache.
Angalieni picha hiyo ya kwanza hapo chini pcha iliyopigwa na Mohamed Shebe ya mkutano wa TANU 1955 wakati wazee wetu wanautafuta uhuru wa Tanganyika.
Angalia huo umma Viwanja Vya Mnazi Mmoja na tazama hiyo sehemu nyeusi.
Hayo ni mabaibui ya bibi. mama, na shangazi zetu wamekuja kuujaza uwanja na kumtia nguvu Mwalimu Nyerere.
Mama zetu wameitika mwito wa "kuno kuno."
Hapo ndipo walipokuwa wakiimba nyimbo za lelemama kuhamsisha wakiimba."
Muheshimiwa nakupenda sana....Insha Allah Mungu yupo Tanganyika tutajitawala.''
Tujitawale halafu iwe nini?
Gaudensia anyanyase Waislam, Gaudensia avunje misikiti yetu?
Gaudensia awafukuze chuoni wajukuu wa hawa wanawake unaowaona hapo chini kwenye picha?
Picha ya pili hao wote mbele hapo wanaongoza maandamano ya akina mama mimi mama zangu.
Hao ndiyo msingi wa UWT.
Yupo Bi. Mwamvua bint Mrisho (Mama Daisy), Bi. Titi Mohamed na Bi. Zainab Tewa.
Luku...Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limemtaja mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule kuwa ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021.
Akitangaza matokeo hayo leo Jumamosi Oktoba 30, 2021 Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema watahiniwa bora kitaifa ni wale ambao wamepata alama nyingi zaidi kuliko wenzao kwenye masomo sita waliyotahiniwa.
Alimtaja aliyeshika nafasi ya pili kuwa ni Happy Joseph Deus kutoka shule ya msingi Twibhoki ya Mkoa wa Mara na nafasi ya tatu ikienda kwa John Chacha Charles kutoka Twibhoki.
Aliyeshika nafasi ya nne ni Joshua Mahende Jacob kutoka shule ya msingi Twibhoki iliyopo Mara pia, Eva Sebastian Chengula kutoka shule ya msingi Fountain of Joy ya Dar es Salaam ameshika nafasi ya tano, Joctan Samwel Matara kutoka Twibhoki ameshika nafasi ya sita.
[emoji835]️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
[emoji835]️ ANDROID:Global App - Apps on Google Play
[emoji835]️ iOS:Global Publishers
Mudi akiona hivi ndo anaita udini.we mzee utakufa kihoro!View attachment 1992226
Nashukuru sana, mkuu!Reg.
Mimi ni mwandishi tu upatikanaji wa vitabu ni kwa wenye maduka ya kuuza vitabu.
Kwa hiyo lengo la kuleta Udini ni nini? Hizi ni dalili za akili mufilisiTk...
Hakika soma mchango wa masheikh waliokuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika utajifunza mengi.
Sina sababu ya kujificha.
Jina langu liko hapa.
Uliyejificha ni wewe.
Nini kinakutisha?
Naona unaanza kurekebisha Uandishi wako....👆 Eti,yaliyokuwa yakifanyika...utanyooka tu kwa huu upotoshaji unaufanya!Luku...
Unanidhania kuwa mimi mjinga hapana.
Ninayoandika si mambo ya kipuuzi hata kidogo.
Yote yana ushahidi usio na shaka.
Zipo taarifa za yaliyokuwa yakifanyika Wizara ya Elimu na NECTA.
Ghichi...Kwa hiyo lengo la kuleta Udini ni nini? Hizi ni dalili za akili mufilisi
Waghabho Aho LeloKwani lazima wamuelewe?
Aise wasingeingilia UDOM kilikuwa kinakuwa a Muslim University. Walianza hadi kuwakamata mabinti wanaovaa nguo fupi!Wakawaulize TISS ,huyo mama wanamwonea,nasikia wao waislam walianza kujitwalia nasafi nyeti serikali iliposhtuka wakamwondoa mkuu wa chuo,alieletwa mpya wakamfanyizia navyosikia,hapo unataka wachukue hatua gani zaidi yakusambalatisha hako kakikundi
Wewe ndiye mdini mwenyewe sasa.Kwako.Mwwnyekiti wa UWT Taifa.
Hata kwetu tusio wanachama wa CCM...