Saint,
Suala hili si la kujadiliwa na lugha za kejeli za "lialia."
Serikali inajua tatizo hili na iko kimya.
Kwa sababu maalum.
Soma historia ya uhuru wa Tanganyika kuna mengi utajifunza.
Ndipo unaweza ukawa na maarifa ya kukusaidia kujadili.
Hakuna tatizo mkuu,
Chuki zako tu na ufia dini unakusumbua.
Acheni kulialia,
Mbona hata sisi wakristo kuna wafia dini tupo na hatulilii,na tumesoma UDOM na kuabudu kwenye venues!
Wana UDOM wenyewe wameridhika na mfumo uliopo.
Tunaabudu kwenye venues zilizowekwa na chuo kwa utaratibu maalum.
Watoto wenu wa kiislamu pia Wana venues zao na huwa wanaabudu humo.
Unataka kuleta udini kwenye mambo yasiyohitaji udini,,
Pale ni taaluma kwanza mzee,,masuala ya kujenga mahema ya kuabudia pelekeni kwenye vyuo vya kidini.
Asiyetaka huo utaratibu basi na ahamie vyuo wanavyoruhusu kujenga misikiti shuleni ili asome madrasa huko muda wote.
Gaudensia ataendelea kuchapa kazi,
Huwezi mzuia rizki yake..
Wewe Endelea na ufia dini wako mzee.