Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Acha ufitini.Nan..
Sikuchagua kuwa Mmanyema wala kuzaliwa Dar es Salaam wala kuwa Mswahili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ufitini.Nan..
Sikuchagua kuwa Mmanyema wala kuzaliwa Dar es Salaam wala kuwa Mswahili.
Mzee wetu, hujiulizi kwa nini siku zote watu wanakulaumu kwamba una ubaguzi wa kiimani!? Unadhani wote wanaokulalamikia ni kwamba wana chuki na wewe?Lib...
Kukosea kunawezekana vipi nami nina vitabu na papers nyingi hii pamoja na kitabu ambacho kimesahihisha historia ya uhuru wa Tanganyika?
Lombo,Kwani kina Sykes ,baada ya kuifadhiki TANU na of course Nyerere,ukitaka wafanyiw3 mini ambacho hawakufanyiwe ili wewe na Wahafadhna wenzako uridhike!?
Kuna tofauti gani na kina Paul Rupia!
Na Elikaele Mbowe!
Lib...Mzee wetu, hujiulizi kwa nini siku zote watu wanakulaumu kwamba una ubaguzi wa kiimani!? Unadhani wote wanaokulalamikia ni kwamba wana chuki na wewe?
So long you're happy with what you're doing bila kujali italeta madhara gani kwa jamii just do it. Ila ujue tu mzee wetu mbegu hii unayoipanda itatugharimu sote bila kujali imani zetu. Yawezekana wewe usichume matunda ya hii dhambi ila vizazi vyako vinaweza kuja kuwa wahanga wa hii sumu unayoipanda, maana pakija kuvurugika wataingia waliomo na wasio kuwamo
Kujenga na huku tunaboma haviwezi kutufikisha popote kama taifa.
Huu ungeweza kuwa na maans lakini sababu unachochea kuchukiana sababu ya mtendaji kuwa imani nyingine unaishia kuchochea Udini na kuharibu utaifa
Nadhani ifike mahala kiongozi anapokosea au kufanya maamuzi usiyoyapenda, yasiyokufurahisha, yasiyokua ya mrengo wako au tunapokosea au tunapofanya mabaya basi tutuhumiane kwa matendo yetu na sio kwa imani zetu
Muongezee na mengine mkuu ukitaka.Ni baba yake Makongoro, Madaraka na wenzao, lakini ikikupendeza muite vyovyote utakavyo.
Wewe utakuwa una stress za maisha tu. Kwani wewe ukienda mikoa mingine ya TZ na kupokelewa basi waliokupokea ndiyo watakuwa pekee yao wameleta hayo mafanikio? Kunywa maji upumzike nafikiri stress zitaisha tu.May Day,
Hivi unajua Nyerere kaja Dar es Salaam hana ndugu wala jamaa?
Unawajua waliompokea?
Unadhani endapo wazee wetu wamgekuwa wabaguzi wa dini au kabila Nyerere angefika hapo alipofika?
Wewe unaridhishwa na hii hali ya leo katika mgawanyo wa fursa 20:80?
Alikuwa kwenye group la kupindua nchi.Mi natamani kujua kwanini Bibi Titi Mohammed hakuunga mkono azimio la Arusha?
Bibi Titi alikosana nini na Mwalimu Nyerere mpaka akavuliwa vyeo vyote na akafungwa jela??
Siwezi kuumizwa na kitu ambacho hakina tija kwangu ndio maana nimesema aitwe vyovyote siwezi kuzuia chochote iwe nataka au sitaki, Nafikiri umekasirishwa na maoni yangu lakini hilo lipo juu ya uwezo wako kwani haiwezekani kila mtu atoe maoni yatakayokufurahisha wewe.Muongezee na mengine mkuu ukitaka.
Naona kuitwa baba wa taifa inakuuma sana,
Ndio ashaitwa mkuu,hata kama wewe hutaki.
Ongeza nyama kidogo mkuuAlikuwa kwenye group la kupindua nchi.
Hebu ,tupe mifano halisi mkuuWakristo muwe wavumilivu watu wanapotoa historia za kweli wa harakati za kudai uhuru wa nchi ya Tanganyika, waislamu wa Tanganyika wametumia rasilimali nyingi na wamefanya jitihada nyingi kuhakikisha uhuru unapatikana na walifanya hayo yote kwa kushirikiana na Watanganyika wote wakidhani wote ni kitu kimoja lakini nchi ilipofanikiwa kupata uhuru Waislamu wakaanza kubaguliwa katika uongozi, mwacheni Mohamed Said aseme.
Kama umefutwa na hatujausoma Basi andika kwa kifupi ,jinsi kina Sykes walivyodhulumiwa ,mimimninavojua Hawa jamaa ni mojawapo ya Familia bora ,na wanakula mkate wa Tanganyika!Lombo,
Nimeandika kitabu ili kumrejesha katika historia ya TANU na kadi yake ya TANU No. 3.
Kwa nini alifutwa?
Mzee hizi pumba zinakudhalilisha na kindi lako unalolitetea ...Nyerere alikiwa smart ndio maana, wazee was Dar walimpokea baada ya kubaini hivo...Kama walikiwa na ajenda nyingine Basi Nyerere hakuwa fala!Ni baba yake Makongoro, Madaraka na wenzao, lakini ikikupendeza muite vyovyote utakavyo.
Habun,Ila wewe mzee ni mdini[emoji119
Kama umefutwa na hatujausoma Basi andika kwa kifupi ,jinsi kina Sykes walivyodhulumiwa ,mimimninavojua Hawa jamaa ni mojawapo ya Familia bora ,na wanakula mkate wa Tanganyika!
Habun,
Ikiwa Mohamed Said mdini wale waliopanga njama ya kuwabana Waislam katika fursa zote na kujipachika wenyewe tutawaitaje?
Msome Bergen (1981), Sivalon (1992) na Njozi (2002).