Wangeruhusiwa kujenga kelele za Eid na Maulid za kucha kutwa zingezuwiya watoto wetu kukamua...na wangezuwiya kupiga kelele za kiarabu wangesema wabaminywa uhuru wao wa kuabudu. Tushike lipi?Mohamed Said ni mkaanga sumu tu. Mmanyema anayejjdai kuwa mswahili wa Dar.
Andoza,Mzee Mohamed;
Yupo Rais wa Nchi,Muislamu,Yupo Waziri mkuu,Muislamu,Ipo serikali ya ZNZ full waislamu.Sijajua ubaguzi unaolalamikia na upi kama sio frustration zako tu za kutokukubali kwamba kuna wakati waislamu wanachanganya ajenda za maendeleo ya kitaifa na ajenda za kidini ambapo matokeo yake huwa ni mabaya kwa uislamu na kwa nchi.
Hata katika ukristo pia wakichanganya mafaili huwa wanaisoma namba.
Binafsi nataka nikukumbuke kama mwanahistoria mahiri lakini naona sasa unatamani kuitwa mchochezi ingawa kwa maandiko yako naona bado hujapata ujasiri wala uwezo wa kuwa mchochezi.Zaidi unaonekana kutotaka kuwatendea haki waislamu wenzako.
Kwani Wakoloni hawakuondoka...na dhuluma yao!Lombo,
Walipigania uhuru kuondoa dhulma za wakoloni.
Umesoma kitabu cha Abdul Sykes?
Kama bado soma kitabu hiki kina mengi muhimu kufahamu.
Jibu ni rahisi tu,anayekereketwa ahamie huko mzumbe.Kuna mambo mengine hayataki ligi. Fika Mzumbe University, pale kuna kanisa na wamepewa mpaka eneo la kujenga shule ilhali waislamu wanaswali Mzumbe Secondary School.
U.eongea point kubwa sana kwa huyu mfitinishaji na mdiniHuwa unatengeneza picha mbaya sana ya Nyerere kama mtu aliyesaidiwa sana na waislamu alipokuja Dar es Salaam. Kumbuka kuwa Nyerere alikuja Dar es Salaama siyo kama ombaomba, bali alikuja akiwa na digrii ya M.A kama mwalimu wa St Francis College. Kabla ya hapo alikuwa ameshafundisha St Mary's College huko Tabora (kwetu mimi na wewe); miaka hiyo ualimu ulikuwa na kazi yenye hadhi sana.
Mara zote unasema iwapo "wazee wenu" wa Dar es Salaama wasinegmsaidia Nyerere lakini ulishasema wewe ni mtu wa Tabora, kwa hiyo uhusiano wako na watu wa dar es salaama ni dini zenu tu, na hapo ndipo tatizo lako lilipo.
Hakuna tatizo mkuu,Saint,
Suala hili si la kujadiliwa na lugha za kejeli za "lialia."
Serikali inajua tatizo hili na iko kimya.
Kwa sababu maalum.
Soma historia ya uhuru wa Tanganyika kuna mengi utajifunza.
Ndipo unaweza ukawa na maarifa ya kukusaidia kujadili.
Embu taja top 10 uongozi wa nchi hii Sasa hivi na dini zao alafu uthibitishe kauli yako.Wakristo muwe wavumilivu watu wanapotoa historia za kweli wa harakati za kudai uhuru wa nchi ya Tanganyika, waislamu wa Tanganyika wametumia rasilimali nyingi na wamefanya jitihada nyingi kuhakikisha uhuru unapatikana na walifanya hayo yote kwa kushirikiana na Watanganyika wote wakidhani wote ni kitu kimoja lakini nchi ilipofanikiwa kupata uhuru Waislamu wakaanza kubaguliwa katika uongozi, mwacheni Mohamed Said aseme.
Endeleeni kukereketwa mkuu.Wakristo muwe wavumilivu watu wanapotoa historia za kweli wa harakati za kudai uhuru wa nchi ya Tanganyika, waislamu wa Tanganyika wametumia rasilimali nyingi na wamefanya jitihada nyingi kuhakikisha uhuru unapatikana na walifanya hayo yote kwa kushirikiana na Watanganyika wote wakidhani wote ni kitu kimoja lakini nchi ilipofanikiwa kupata uhuru Waislamu wakaanza kubaguliwa katika uongozi, mwacheni Mohamed Said aseme.
Walitoa/jitoa kama waislamu au kama watanganyika/watanzania?!Wakristo muwe wavumilivu watu wanapotoa historia za kweli wa harakati za kudai uhuru wa nchi ya Tanganyika, waislamu wa Tanganyika wametumia rasilimali nyingi na wamefanya jitihada nyingi kuhakikisha uhuru unapatikana na walifanya hayo yote kwa kushirikiana na Watanganyika wote wakidhani wote ni kitu kimoja lakini nchi ilipofanikiwa kupata uhuru Waislamu wakaanza kubaguliwa katika uongozi, mwacheni Mohamed Said aseme.
Ndani ya hizo unazoziita top 10 kuna nini? Utakuta ndio ile aliyoitaja mleta uzi 20 kwa 80.Embu taja top 10 uongozi wa nchi hii Sasa hivi na dini zao alafu uthibitishe kauli yako.
kulalama pasi na sababu ni hulka mbaya sana
Unaweza kumuita jina lolote na kumpa utukufu wowote lakini hiyo haiwezi kusaidia chochote.Endeleeni kukereketwa mkuu.
Ila hata mkereketwe vipi ,misikiti haijengwi Udom.
Udom siyo madrasa za waislamu.
Na baba wa taifa ni Nyerere mkuu.
Walitoa/jitoa kama Watanganyika lakini baadaye walibaguliwa kama Waislamu.Walitoa/jitoa kama waislamu au kama watanganyika/watanzania?!
Hata wewe unaweza umia vyovyote lakini haibadili ukweli kuwa Nyerere ni baba wa taifa.Unaweza kumuita jina lolote na kumpa utukufu wowote lakini hiyo haiwezi kusaidia chochote.
Ni baba yake Makongoro, Madaraka na wenzao, lakini ikikupendeza muite vyovyote utakavyo.Hata wewe unaweza umia vyovyote lakini haibadili ukweli kuwa Nyerere ni baba wa taifa.