Gavana wa BOT amemaliza muda wake au amestaafu?

Unaitafsiri sheria kimakalio makalio Mkuu.

Shall be eligible for reappointment subject to.....

Apo kwenye "subject to...." sasa ndio wenye Nchi tunachagua mtu wetu wa kumuweka.
 
hili ni tatizo kubwa kwenye utumishi wa umma!!

kiuhalisia wengi wao wamepitiliza kabisa umri wa kustaafu lkn cheti cha kuzaliwa kinasema tofauti.

wazee ni wengi sana kwenye utumishi!! na hao ndio wanao ziba nafasi za vijana.



Na performance zao zimeshuka sana! [emoji848]

Wengine wamekalia fitina na majungu kwa vijana ambao ni hodari wa kazi.
 

B. Ndulu alizaliwa mwaka 1950 alikuwa Gavana mpaka 2018 akiwa na miaka 68, vipi hapo?
 
Yes ana miaka 65 tayari kiongozi, ni vile ulikuwa unabishia bila ya kuhusisha hii fact.
-President ana mamlaka makubwa sana, discretionary powers anaweza kumuongezea muda wa kustaafu, ndio maana hata General Mabeyo alistaafu kwa miaka 66 alizidi retirement age, ni kutokana na discretionary powers za Rais.
-Bottom line sheria ya Utumishi wa Umma imesema kuwa umri wa kustaafu wa lazima kwa Maprofesa, Senior lecturers, specialist doctors ni 65, lakini pia itategemea na discretionary powers za Rais
 
Sheria ya benki kuu haitoi ulazima wa gavana kustaafu akiwa na miaka 65 ila imesema gavana atsteuliwa kushika madaraka kwa miaka 5 na lazima aongezewe tena miaka 5
 
Mbona sioni utaalamu wa mambo ya fweza?
 
Hii ndio CV ya gavana wa benki kuu?!
Mwafa.
 
Mamlaka yapi? Kitaje iko kipengele

Rais anafanya kazi kwa mujibu wa Katiba na Sheria na pia endapo Rais atathibitika kuvunja Katiba au Sheria anaweza kupigiwa kura ya kuondolewa madarakani na bunge soma ibara ya 46A(1) (2) (a) ya Katiba ya JMT ya mwaka 1977
-katiba katafute sehemu ya mamlaka ya Rais
-Publiv service inatumika kwa sabb Gavana wa benki kuu ni mtumishi wa Umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…