Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,103
-Kasome mamlaka ya Rais kwenye uteuzi wa maofisa Rais akiwa kama mkuu wa serikali, anateua Mawaziri,Naibu,Gavana ,rc,DC,das,Ras,majaji nk nk.Mamlaka yapi? Kitajs iko kipengele
Rais anafanya kazi kwa mujibu wa Katiba na Sheria na pia endapo Rais atathibitika kuvunja Katiba au Sheria anaweza kupigiwa kura ya kuondolewa madarakani na bunge soma ibara ya 46A(1) (2) (a) ya Katiba ya JMT ya mwaka 1977
Mbona sioni utaalamu wa mambo ya fweza?
Kwanza Prof Luoga ana miaka mingapi?-Kasome mamlaka ya Rais kwenye uteuzi wa maofisa Rais akiwa kama mkuu wa serikali, anateua Mawaziri,Naibu,Gavana ,rc,DC,das,Ras,majaji nk nk.
- Kwa hiyo Rais akimuongezea retirement age mtu kavunja sheria kumbe? Mbona Gen. Mabeyo kustaafu na 66 Kwa hiyo Rais kavunja Katiba na sheria? (Mbona hakukuwa na kelele yoyote kusema Rais kavunja Katiba na sheria?)Ndio maana nikakwambia hizo ni discretionary powers za Rais alizonaz, Mapenzi ya Rais,
Shall mean not necessarily go study enoughSheria ya benki kuu imesema Gavana wa benki kuu atashika Kwa kipindi Cha miaka mitano and "shall be eligible for reappointment " sheria hiyo ya benki kuu imeweka ulazima kwamba Gavana wa benki kuu atakuwa na haki ya kuongezewa muda wa awamu ya pili Ili kukamilisha vipindi viwili vya miaka mitano mitano
Huyu jamaa ni kipilimba tottaly ...Jamaa amekaa TISS TISS maana Usiri mwingi....
Kwa sasa CIA wako busy kufukunyua ili wamjue
-ingia google taarifa za prof Luoga.Kwanza Prof Luoga ana miaka mingapi?
Alafu hao waliotunga Sheria ya Benki Kuu unadhani wajinga kwa kutoweka kipengele cha umri hapo kwenye kifungu cha 8?
Popote penye neno Shall, maana yake hayo ni masharti ya Lazima soma Sheria ya tafsiri imetoa maana hiyo.Shall mean not necessarily go study enough
Acha fix... hawezi kuwa mtumishi wa UMMA.Walimu na madaktari 70
Hahaha...sasa naanza kuelewa ni kwanini kuna Watanzania wakiongozwa na Wanasiasa wengi hasa wale wa vyama vya siasa vilivyoko nje ya Serikali wanahitaji katiba mpya.Imagine mtu kama Assad kipindi anateuliwa kwa kufuata Sheria iliyompa RAIS mamlaka ya kumteua Bila Shaka alifurahia sana uteuzi na nina Imani ali-enjoy mazuri yaliyoambatana na uteuzi wake..na si ajabu wakati ule ungemwambia Sheria iliyokupa uteuzi ni Mbaya sana ina loopholes nyingi,asingekuelewa,akaja aliyekua anapenda kuchezea loopholes akamgusa ndio akagundua Sheria haiko sawa...sasa huyu Gavana Mpya leo yuko poa na Sheria..ikitokea Hali imebadirika kama alivyotahadharisha JK iyo "SHALL" itapigiwa kelele mpaka iwe SHARI.Kawaulize watunga Sheria kipindi wanatunga hiyo sheria na kuweka hicho kifungu walikuwa Wana kusudia Nini, i.e The intention of the legislature
Kama umri luoga is 64-ingia google taarifa za prof Luoga.
-kwani wakati wanatunga hiyo sheria ya benki unadhani Mimi nilikuwepo bungeni? Angalia intention of the legislature kwenye kufix hicho kifungu, Kwa maana naona literal rule haileti maana nzuri kwenye tafsiri
Umesoma hapo hadi mwisho hilo andiko? Alipoongezewa muda tayari alikuwa na miaka 62 hivyo kisheria inalazimika amalize kipindi chake cha miaka 5 mingine aliyopewa.B. Ndulu alizaliwa mwaka 1950 alikuwa Gavana mpaka 2018 akiwa na miaka 68, vipi hapo?
Haijaweka ULAZIMA wa kuteuliwa kwa muhula wa 2. Muhula wa 2 utategemea pia vitu kadhaa ikiwemo UMRI wake.Sheria ya benki kuu haitoi ulazima wa gavana kustaafu akiwa na miaka 65 ila imesema gavana atsteuliwa kushika madaraka kwa miaka 5 na lazima aongezewe tena miaka 5
Asipokuelewa hapa mkuu wangu itakuwa ameamua tu kubishia.Sheria hiyo ya benki kuu hausomwi peke yake Bali inasomwa na sheria nyingine mfano public service act,Katiba nk nk
Luoga ana Miaka 65Kama umri luoga is 64
We mwanasheria? Maana kama sio mwanasheria huwezi kuelewaHaijaweka ULAZIMA wa kuteuliwa kwa muhula wa 2. Muhula wa 2 utategemea pia vitu kadhaa ikiwemo UMRI wake.
Unaposoma kitu punguza kukariri.
Sheria ya Benki Kuu haiweki kigezo cha umri wa kustaafu kwa gavana ila imeweka ulazima wa gavana kuhudumu vipindi viwiliLuoga ana Miaka 65
We jamaa ni kichaa acha tukuache, kasome tena na tena na tena na tena na tena.Sheria ya Benki Kuu haiweki kigezo cha umri wa kustaafu kwa gavana ila imeweka ulazima wa gavana kuhudumu vipindi viwili
Kama haijasema lazima awe Mtanzania basi si kosa kuwa na gavana Mtanzania pale itakapoonekana inahitajika.We jamaa ni kichaa acha tukuache, kasome tena na tena na tena na tena na tena.
Hiyo sheria inaenda sambamba na sheria zingine za nchi yetu.
BOT act haijasema GAVANA lazima awe MTANZANIA je kwa akili yako unaweza KUMTEUA MKENYA awe GAVANA wa BOT??
Hapa yafaa uelewe sheria moja huambatana na baadhi ya sheria ili kufanikisha zoezi hilo.
Rudia kusoma tena, jipe muda wa kuelewa mambo kwanza.
Uko mwaka wa ngapi hapo CHUONI kiongozi??Kama haijasema lazima awe Mtanzania basi si kosa kuwa na gavana Mtanzania pale itakapoonekana inahitajika.
Kumbuka tumeshawai kuwa na hadi majaji ambao sio watanzania
Sheria haina automatic we jamaa. Sheria kama inavyosema lazima itekelezwe na endapo Rais akibainika amevunja Sheria ni very risk na kwa mujibu wa Ibara ya 46A(1)(2)(a) anaweza kuvuliwa madaraka na bunge. Ni very serious issue kwa Rais kuvunja Katiba au Sheria