MkuuKumbe na wewe unaumia sana wakichapwa mashoga au ni wenzako hawa ??
View: https://youtu.be/fNLYhCy1dEo
Mimi sijakushambulia nimeuliza tu hapo juu , au kiswahili kinakupiga chenga ???Mkuu
Wala haisaidii kuwashambulia wanaowaza tofauti na wewe.
Tunaweka hoja ili tupambane kwa hoja na siyo kupeana majina kama ya mbwa.
Anayefurahia kifo chq mwqnadamu mwingine hata iweje ana tatizo la afya ya akili.
Endelea kushabikia vifo.
wewe jiulize hilo swaliUpande upi wafike buku kumi???
Mpaka jion ya leo wote wana buku moja na ushee tu
Wameshaongeza idadi inakaribia 1300. Lakini hawa jamaa siyo wa kuamini wanaweza kuwa wanaongeza figures ili kujustify kuendelea kuvurumisha mabomu Gaza.Na wayahudi waliokufa wangapi mpaka sasa? Mbona hujasema?
Masaa matatu nyuma idadi ya wayahudi waliokufa iilikuwa zaidi ya 1,200 kwa mujibu wa wion.
Au hilo hulifahamu?
sasa hv vilio vya mitandaoni kwann msiviache maana tiktok kote huko watu wanalia kuwa wapalestina wanaonewa kwa hiki kipigo wanachopata [emoji16][emoji16][emoji16]Na wayahudi waliokufa wangapi mpaka sasa? Mbona hujasema?
Masaa matatu nyuma idadi ya wayahudi waliokufa iilikuwa zaidi ya 1,200 kwa mujibu wa wion.
Au hilo hulifahamu?
Wewe hujui kwamba waarabu hawapendi wageni, hao wapalestina wako radhi kwenda Ulaya au Marekani lkn sio kwa waarabu ambao hawawataki.Wameshaongeza idadi inakaribia 1300. Lakini hawa jamaa siyo wa kuamini wanaweza kuwa wanaongeza figures ili kujustify kuendelea kuvurumisha mabomu Gaza.
Swali la udadisi: Kwa nini Egypt hataki kufungua mpaka wake na Gaza ili watu wapate pa kukimbilia?
Hilo la kuonewa wa Wapalestina tunalilia toka tumezaliwa, hata nyerere alilililia sana mapaka akawafukuza Wayahudi Tanzania na akafunga ubalozi wao na kukata kabisa mahusiano nao.sasa hv vilio vya mitandaoni kwann msiviache maana tiktok kote huko watu wanalia kuwa wapalestina wanaonewa kwa hiki kipigo wanachopata [emoji16][emoji16][emoji16]
Egypt kafunguwa mpaka na katuma magari yenye misaada kwa wapalestina, Wayahudi wamyarushia mabomu yakarudi. Wayahudi ndiyo waliofunga mipaka yote ili wawamalize wapalestina.Wameshaongeza idadi inakaribia 1300. Lakini hawa jamaa siyo wa kuamini wanaweza kuwa wanaongeza figures ili kujustify kuendelea kuvurumisha mabomu Gaza.
Swali la udadisi: Kwa nini Egypt hataki kufungua mpaka wake na Gaza ili watu wapate pa kukimbilia?
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni mwendawazimu tuu anaweza kuamini hiviWanadai wanapata baraka kwa kujikomba kwa hao mabwana wa vita.
Kumbe Wamakonde nao ni wayahudi!![emoji848][emoji23]Mbona umepanic ww ni myahud nini
Hivi Mazayuni Wana hitaji kweli justification yoyoteWameshaongeza idadi inakaribia 1300. Lakini hawa jamaa siyo wa kuamini wanaweza kuwa wanaongeza figures ili kujustify kuendelea kuvurumisha mabomu Gaza.
Swali la udadisi: Kwa nini Egypt hataki kufungua mpaka wake na Gaza ili watu wapate pa kukimbilia?
1200 vs 2000mapigo yanapiga palestina vifo vingi ni waisrael , yaan hapo bado
Mambo ya ndani ni magumu zaidi na wengi hawataki kuingia katika mikono ya watawala na chawa wao. Huko nje hakuna chochote unachoweza kufanywa.Hivi kwanini watanzania wengi hupenda kushabikia vita vya nje hata kama hatuna masirahi ya moja kwa moja uko nje huvi ni elimu duni au ujinga?........
Simanishe huyu mleta mada ni kwamba naona watu wanashanikia sana vita ya Urusu na Ukuraini
Magaidi yauwawe vizuri tuNa wayahudi waliokufa wangapi mpaka sasa? Mbona hujasema?
Masaa matatu nyuma idadi ya wayahudi waliokufa iilikuwa zaidi ya 1,200 kwa mujibu wa wion.
Au hilo hulifahamu?
Kabisa. Hilo ni wazi kabisa.Magaidi yauwawe vizuri tu
Magaidi yalikuwa yakilana mivutu jangwani huku ikijileweya, ilijisahau ilifikiri eti ni wateule wa mungu , vijana waliingia kilaini wakawapa kichapo cha mbwa koko walibaki kutimka huku wakiharisha😝😝😝Magaidi yauwawe vizuri tu
Katika mashambulizi haya. Nani wa kwanza kumchokoza mwenzakeEgypt kafunguwa mpaka na katuma magari yenye misaada kwa wapalestina, Wayahudi wamyarushia mabomu yakarudi. Wayahudi ndiyo waliofunga mipaka yote ili wawamalize wapalestina.
Wayahudi wanafanya mauwaji ya Kimbari (genocide).