Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kumbe na wewe unaumia sana wakichapwa mashoga au ni wenzako hawa ??
View: https://youtu.be/fNLYhCy1dEo
Mkuu
Wala haisaidii kuwashambulia wanaowaza tofauti na wewe.
Tunaweka hoja ili tupambane kwa hoja na siyo kupeana majina kama ya mbwa.
Anayefurahia kifo chq mwqnadamu mwingine hata iweje ana tatizo la afya ya akili.
Endelea kushabikia vifo.