Gaza: Mpaka sasa, Watu zaidi ya 1,055 wamekufa na 5,000 kujeruhiwa

Mkuu
Wala haisaidii kuwashambulia wanaowaza tofauti na wewe.

Tunaweka hoja ili tupambane kwa hoja na siyo kupeana majina kama ya mbwa.

Anayefurahia kifo chq mwqnadamu mwingine hata iweje ana tatizo la afya ya akili.

Endelea kushabikia vifo.
Mimi sijakushambulia nimeuliza tu hapo juu , au kiswahili kinakupiga chenga ???
 
Na wayahudi waliokufa wangapi mpaka sasa? Mbona hujasema?

Masaa matatu nyuma idadi ya wayahudi waliokufa iilikuwa zaidi ya 1,200 kwa mujibu wa wion.

Au hilo hulifahamu?
Wameshaongeza idadi inakaribia 1300. Lakini hawa jamaa siyo wa kuamini wanaweza kuwa wanaongeza figures ili kujustify kuendelea kuvurumisha mabomu Gaza.
Swali la udadisi: Kwa nini Egypt hataki kufungua mpaka wake na Gaza ili watu wapate pa kukimbilia?
 
sasa hv vilio vya mitandaoni kwann msiviache maana tiktok kote huko watu wanalia kuwa wapalestina wanaonewa kwa hiki kipigo wanachopata [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe hujui kwamba waarabu hawapendi wageni, hao wapalestina wako radhi kwenda Ulaya au Marekani lkn sio kwa waarabu ambao hawawataki.
 
sasa hv vilio vya mitandaoni kwann msiviache maana tiktok kote huko watu wanalia kuwa wapalestina wanaonewa kwa hiki kipigo wanachopata [emoji16][emoji16][emoji16]
Hilo la kuonewa wa Wapalestina tunalilia toka tumezaliwa, hata nyerere alilililia sana mapaka akawafukuza Wayahudi Tanzania na akafunga ubalozi wao na kukata kabisa mahusiano nao.
 
Safi sana waendelee kuuwana mpaka kizazi kimojawapo kipotee kabisa
 
Wameshaongeza idadi inakaribia 1300. Lakini hawa jamaa siyo wa kuamini wanaweza kuwa wanaongeza figures ili kujustify kuendelea kuvurumisha mabomu Gaza.
Swali la udadisi: Kwa nini Egypt hataki kufungua mpaka wake na Gaza ili watu wapate pa kukimbilia?
Egypt kafunguwa mpaka na katuma magari yenye misaada kwa wapalestina, Wayahudi wamyarushia mabomu yakarudi. Wayahudi ndiyo waliofunga mipaka yote ili wawamalize wapalestina.

Wayahudi wanafanya mauwaji ya Kimbari (genocide).
 
Hivi wanajeshi wa Israel waliotekwa wamakombolewa tayari![emoji23][emoji23][emoji23][emoji14]
 
Wameshaongeza idadi inakaribia 1300. Lakini hawa jamaa siyo wa kuamini wanaweza kuwa wanaongeza figures ili kujustify kuendelea kuvurumisha mabomu Gaza.
Swali la udadisi: Kwa nini Egypt hataki kufungua mpaka wake na Gaza ili watu wapate pa kukimbilia?
Hivi Mazayuni Wana hitaji kweli justification yoyote
kutimiza unyama wao
tuache conspiracies nyepesi nyepesi
 
Hivi kwanini watanzania wengi hupenda kushabikia vita vya nje hata kama hatuna masirahi ya moja kwa moja uko nje huvi ni elimu duni au ujinga?........
Simanishe huyu mleta mada ni kwamba naona watu wanashanikia sana vita ya Urusu na Ukuraini
Mambo ya ndani ni magumu zaidi na wengi hawataki kuingia katika mikono ya watawala na chawa wao. Huko nje hakuna chochote unachoweza kufanywa.
 
Magaidi yauwawe vizuri tu
Magaidi yalikuwa yakilana mivutu jangwani huku ikijileweya, ilijisahau ilifikiri eti ni wateule wa mungu , vijana waliingia kilaini wakawapa kichapo cha mbwa koko walibaki kutimka huku wakiharisha😝😝😝
 
Egypt kafunguwa mpaka na katuma magari yenye misaada kwa wapalestina, Wayahudi wamyarushia mabomu yakarudi. Wayahudi ndiyo waliofunga mipaka yote ili wawamalize wapalestina.

Wayahudi wanafanya mauwaji ya Kimbari (genocide).
Katika mashambulizi haya. Nani wa kwanza kumchokoza mwenzake
 
Back
Top Bottom