Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #121
HakikaHalafu mtu kama huyu umwambie ccm ni mbaya! Yuko tayari kukupoteza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaHalafu mtu kama huyu umwambie ccm ni mbaya! Yuko tayari kukupoteza
Mwanahalisi ni kipeperushi cha uongo na uzushi tu.si ndio hicho hicho kilitumika kumchafua sana Hayati Edward lowassa halafu baadaye hicho hicho na watu wale wale wakaanza kumsafisha alipokuja kugombea Urais CHADEMA.shida yenu CHADEMA ni kuwa na akili za unyumbu na kushindwa kufikiri vizuri na kutumia akili katika kutizama na kuchambua Mambo . Mpo mpo tu utafikiri mmenyofolewa ubongo.
Hiko chumba ndio cha Bei ya chini kabisa Gran Melia Hotel,nilikuwa na rafiki Jaji wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika(ACHPR),alikuwa analala chumba cha USD 3450 per day na hiyo ni mwaka 2022,usilete ushamba wa KakonkoMelia Hotel ni USD 489 kwa siku ya leo. Sasa 489 x 2389 = 1,168,221.
Kwa maana nyingine ni kuwa Melia Hotel kwa siku ni tzs 1,168,221. Sasa wewe hizo 6.2M umezitoa wapi? Unaamini redio uchwara?
Sawa niko Kakonko lkn nina information za miji mingi kuliko hata wengi wa wanaoishi ktk miji hiyo.
Kubenea tangu wafungue gazeti lake kifungoni Kawa Chawa wa serikali!!
Watu wanaifadhiri CCM na fedha chafu sembuse Makonda kufadhiriwa?
Ww tena cwez kukushangaa bado una sukuma gang syndrome huyo bwana kutuhumiwa kuish extra vaganza life halijaaaanza leo hv mkuu mkoa anamiliki defender 2023 ya milioni 400 kwa mshahara upi kuna vitu havisound bas tumeamua kujizima dataNaunga mkono hoja, ni wivu tuu dhidi ya mafanikio yake. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze
P
Wanataka awe mbunge wao?Jana nilikua arusha,kweli mkutano wa mama samia ulifurika.tanzania ni matajiri sana yale ma v8 niyabei kwa haraka niliyo hesabu nikama mia na usheik,niliongea na baadhi ya vijana wa arusha,flykechaaa,stend ya arusha moshi,boda boda kwakweli wamesema makonda katengeneza fursa sana kwenyw sekta ya utaliii.na wanamkubali,kuazia wakina mama wajisiria mali
tatizo nini? kwani sio stahiki zake? kuna sheria imekiukwa? kwahiyo chumba alichokuwa anazagamulia mjomba wako na makonda analalia hichohicho na mashuka yaleyale? au shida yako nini hasa?Hiko chumba ndio cha Bei ya chini kabisa Gran Melia Hotel,nilikuwa na rafiki Jaji wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika(ACHPR),alikuwa analala chumba cha USD 3450 per day na hiyo ni mwaka 2022,usilete ushamba wa Kakonko
Kweli we mwehu. Cdm Happ imeingiaje!Mwanahalisi ni kipeperushi cha uongo na uzushi tu.si ndio hicho hicho kilitumika kumchafua sana Hayati Edward lowassa halafu baadaye hicho hicho na watu wale wale wakaanza kumsafisha alipokuja kugombea Urais CHADEMA.shida yenu CHADEMA ni kuwa na akili za unyumbu na kushindwa kufikiri vizuri na kutumia akili katika kutizama na kuchambua Mambo . Mpo mpo tu utafikiri mmenyofolewa ubongo.
Mwanahalisi ni kipeperushi cha uongo na uzushi tu.si ndio hicho hicho kilitumika kumchafua sana Hayati Edward lowassa halafu baadaye hicho hicho na watu wale wale wakaanza kumsafisha alipokuja kugombea Urais CHADEMA.shida yenu CHADEMA ni kuwa na akili za unyumbu na kushindwa kufikiri vizuri na kutumia akili katika kutizama na kuchambua Mambo . Mpo mpo tu utafikiri mmenyofolewa ubongo.
CDE acha kupotosha, hebu chukua contact zao uwe kama unafanya booking afu rudi humu ufute upuuzi wako wa kupandisha bei za vitu.Hiko chumba ndio cha Bei ya chini kabisa Gran Melia Hotel,nilikuwa na rafiki Jaji wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika(ACHPR),alikuwa analala chumba cha USD 3450 per day na hiyo ni mwaka 2022,usilete ushamba wa Kakonko
Huyu ni mbishi tu - chumba hapo ni USD 400+ per day. Sasa sijui kwa nn walazimishe bei kuwa juu sanatatizo nini? kwani sio stahiki zake? kuna sheria imekiukwa? kwahiyo chumba alichokuwa anazagamulia mjomba wako na makonda analalia hichohicho na mashuka yaleyale? au shida yako nini hasa?
Huyu kijana hamumuwezi.
Kabisa. Mkuu wewe huna baya. Machozi ya furaha yamenibubujika kusoma comment hii.Mwanahalisi ni kipeperushi cha uongo na uzushi tu.si ndio hicho hicho kilitumika kumchafua sana Hayati Edward lowassa halafu baadaye hicho hicho na watu wale wale wakaanza kumsafisha alipokuja kugombea Urais CHADEMA.shida yenu CHADEMA ni kuwa na akili za unyumbu na kushindwa kufikiri vizuri na kutumia akili katika kutizama na kuchambua Mambo . Mpo mpo tu utafikiri mmenyofolewa ubongo.
Hiyo taarifa iko wapi? Naona majina ya Kiarabu na Kihindi tu.
Gazeti la machadema hili halina tofauti na lile la musiba
Nafikiri hamjanielewa nyie watu,naifahamu Gran Melia maana nyuma ya Gran Melia nina nyumba yangu,kwa kifupi tumetengana HATUA zisizozidi 50 kutoka nyumba yangu niliyoijenga kwa jasho langu na hiyo Gran Melia,hiyo Hotel tangu inaanza kujengwa naiona. Na tatizo langu sio kwa Bwana BASHITE kulala hapo NO,akitaka alale hata maisha yake yote mimi sina shida na wala hainihusu. Nilichokuwa nafafanua ni Bei za Vyumba maana nazijua.Hivyo wewe Mzee wa Kakonko mimi sihitaji kupiga simu Gran Melia kuuliza Bei ya Vyumba,ni suala la kutembea dakika 5 tu nipo receptionCDE acha kupotosha, hebu chukua contact zao uwe kama unafanya booking afu rudi humu ufute upuuzi wako wa kupandisha bei za vitu.
Mungu hainui wapumbavu na watu wanaolazimisha watu waaamini yeye msafi.Huyu kijana hamumuwezi.
Mtazusha kila lizushwalo lakini hamtamuweza. Mungu humwinua zaidi na zaidi kila apitapo.
Piga kazi kijana. Our future President.