Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

Kibinti cha Mbowe tangu lini ukamtakia mema Makonda?
Mimi siwashangai na kikalagosi cha gazeti lenu kumchafua Makonda

Mtasugua benchi mpaka muache uzushi na uwongo usiopendwa na Muumba

Na 2024 sahauni Ikulu ingawa hata mimi siipendi CCM

Mnachotuboa ni uwongo wa wazi dhidi ya wengine
 
Mwanahalisi ni kipeperushi cha uongo na uzushi tu.si ndio hicho hicho kilitumika kumchafua sana Hayati Edward lowassa halafu baadaye hicho hicho na watu wale wale wakaanza kumsafisha alipokuja kugombea Urais CHADEMA.shida yenu CHADEMA ni kuwa na akili za unyumbu na kushindwa kufikiri vizuri na kutumia akili katika kutizama na kuchambua Mambo . Mpo mpo tu utafikiri mmenyofolewa ubongo.

Kwani haishi hapo? Na nani analipa hizo bili wakati ni nje miongozo ya serikali.
 
Melia Hotel ni USD 489 kwa siku ya leo. Sasa 489 x 2389 = 1,168,221.

Kwa maana nyingine ni kuwa Melia Hotel kwa siku ni tzs 1,168,221. Sasa wewe hizo 6.2M umezitoa wapi? Unaamini redio uchwara?

Sawa niko Kakonko lkn nina information za miji mingi kuliko hata wengi wa wanaoishi ktk miji hiyo.
Hiko chumba ndio cha Bei ya chini kabisa Gran Melia Hotel,nilikuwa na rafiki Jaji wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika(ACHPR),alikuwa analala chumba cha USD 3450 per day na hiyo ni mwaka 2022,usilete ushamba wa Kakonko
 
Jana nilikua arusha,kweli mkutano wa mama samia ulifurika.tanzania ni matajiri sana yale ma v8 niyabei kwa haraka niliyo hesabu nikama mia na usheik,niliongea na baadhi ya vijana wa arusha,flykechaaa,stend ya arusha moshi,boda boda kwakweli wamesema makonda katengeneza fursa sana kwenyw sekta ya utaliii.na wanamkubali,kuazia wakina mama wajisiria mali
Wanataka awe mbunge wao?
 
Hiko chumba ndio cha Bei ya chini kabisa Gran Melia Hotel,nilikuwa na rafiki Jaji wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika(ACHPR),alikuwa analala chumba cha USD 3450 per day na hiyo ni mwaka 2022,usilete ushamba wa Kakonko
tatizo nini? kwani sio stahiki zake? kuna sheria imekiukwa? kwahiyo chumba alichokuwa anazagamulia mjomba wako na makonda analalia hichohicho na mashuka yaleyale? au shida yako nini hasa?
 
We
Mwanahalisi ni kipeperushi cha uongo na uzushi tu.si ndio hicho hicho kilitumika kumchafua sana Hayati Edward lowassa halafu baadaye hicho hicho na watu wale wale wakaanza kumsafisha alipokuja kugombea Urais CHADEMA.shida yenu CHADEMA ni kuwa na akili za unyumbu na kushindwa kufikiri vizuri na kutumia akili katika kutizama na kuchambua Mambo . Mpo mpo tu utafikiri mmenyofolewa ubongo.
Kweli we mwehu. Cdm Happ imeingiaje!

CDE acha kupotosha, hebu chukua contact zao uwe kama unafanya booking afu rudi humu ufute upuuzi wako wa kupandisha bei za vitu.
 
tatizo nini? kwani sio stahiki zake? kuna sheria imekiukwa? kwahiyo chumba alichokuwa anazagamulia mjomba wako na makonda analalia hichohicho na mashuka yaleyale? au shida yako nini hasa?
Huyu ni mbishi tu - chumba hapo ni USD 400+ per day. Sasa sijui kwa nn walazimishe bei kuwa juu sana
 
Mwanahalisi ni kipeperushi cha uongo na uzushi tu.si ndio hicho hicho kilitumika kumchafua sana Hayati Edward lowassa halafu baadaye hicho hicho na watu wale wale wakaanza kumsafisha alipokuja kugombea Urais CHADEMA.shida yenu CHADEMA ni kuwa na akili za unyumbu na kushindwa kufikiri vizuri na kutumia akili katika kutizama na kuchambua Mambo . Mpo mpo tu utafikiri mmenyofolewa ubongo.
Kabisa. Mkuu wewe huna baya. Machozi ya furaha yamenibubujika kusoma comment hii.

Ngurukia
Chawa Mkuu wa Lucas Mwashambwa
 
CDE acha kupotosha, hebu chukua contact zao uwe kama unafanya booking afu rudi humu ufute upuuzi wako wa kupandisha bei za vitu.
Nafikiri hamjanielewa nyie watu,naifahamu Gran Melia maana nyuma ya Gran Melia nina nyumba yangu,kwa kifupi tumetengana HATUA zisizozidi 50 kutoka nyumba yangu niliyoijenga kwa jasho langu na hiyo Gran Melia,hiyo Hotel tangu inaanza kujengwa naiona. Na tatizo langu sio kwa Bwana BASHITE kulala hapo NO,akitaka alale hata maisha yake yote mimi sina shida na wala hainihusu. Nilichokuwa nafafanua ni Bei za Vyumba maana nazijua.Hivyo wewe Mzee wa Kakonko mimi sihitaji kupiga simu Gran Melia kuuliza Bei ya Vyumba,ni suala la kutembea dakika 5 tu nipo reception
 
Huyu kijana hamumuwezi.
Mtazusha kila lizushwalo lakini hamtamuweza. Mungu humwinua zaidi na zaidi kila apitapo.
Piga kazi kijana. Our future President.
Mungu hainui wapumbavu na watu wanaolazimisha watu waaamini yeye msafi.
 
Back
Top Bottom