Gazeti la The Economist: Rais Magufuli na CCM kuendelea kushika madaraka baada ya Uchaguzi Mkuu


Ngoja mruhusu mikutano ya siasa ndio mtashangaa,

Wana ccm wengi wanajidanganya kwa kuhisi wanainchi wote wanahangaika na ndege, au madaraja, wakati hali haiko hivyo
 
Wangesema Jamaa ni Dikteta ungetokwa jasho hadi kwenye meno
Kitochi Original
 
Likewise linatoa signal kwa mabeberu wanaotaka kuwekeza bongo kwamba CCM ipo sana tu, kama hawakubaliani na sera zake sasa, then wasitarajie mabadiliko baada ya uchaguzi....Kwa hivyo wawe makini wasipoteze pesa zao...

Hii ina maana FDI zitazidi kupungua na ajira kuota mbawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maghufuli atakuwa amekubali kusaini ule mkataba wa EPA unaozihusisha nchi 6 za Africa.
 
Chama makini hakiwezi kubweteka eti kwa sababu kinajua kitashinda Uchaguzi Mkuu.

Huwezi kukuta eti timu kama Liverpool FC eti hawafanyi mazoezi na haijiandai kupambana na timu iliyoko kwenye nafasi ya mwisho katika league eti kwa sababu wanajua watashinda mchezo. Kama kujiandaa kwa CCM katika Uchaguzi Mkuu ni kukosa confidence basi acha waendelee kukosa confidence!

Sio kazi ya CCM kutoa nafasi sawa za kufanya siasa au kuwaamuru polisi kuwadhibiti wapinzani bali hiyo ni kazi ya serikali kama unachokisema kipo. Sijaona wapinzani wakitakazwa kufanya siasa au polisi kuwadhibiti wapinzani.
 
T

The economist hawa wanafiki tu!
Sasa ndo wanajifanya kuanza kubalance story sio?
Too late, tulishawastukia siku nyingi sana. Maleongo yao na wanayemtumikia tunayajua hata mkijifanya leo mnakuwa neutral na kuanza kuuona ukweli.
Mkuu;
Wao wametoa ukweli kwa kile wanachokiona kwa sababu hawawezi kupingana na ukweli ulio njiani kuwafikia baada ya Uchaguzi Mkuu!
 
Haina shida CIA wanajifanya wako highly informed swali dogo tu kwao Zitto Kabwe,Mbowe na Seif Shariff Hammad Ni wapinzani na viongozi wa upinzani Tanzania? Sihitaji wajibu humu watajijua who cares in Tanzania?
Current CIA are stupid .The best CIA was in the 1960s !!! The current CIA they are crap and stupid to hell with them .
 
Maghufuli atakuwa amekubali kusaini ule mkataba wa EPA unaozihusisha nchi 6 za Africa.
Tatizo la CIA wanajifanya much knowlegge kumbe wajinga tu 2015 nilikuwa Zanzibar nikakutana na CIA operative kisichana kidogo kililewa kikasema Zanzibar CCM haishindi nikakiuliza why kikasema ooh Mimi mjerumani wa Namibia mtalii Lakini taarifa za CIA Marekani zinasema serikali ya Zanzibar lazima ichukuliwe na CUF na lazima Seif Shariff Hamad awe Raisi na Raisi Wa Tanzania awe Lowasa mlutheri
Kifupi CIA ya Sasa Ni wapumbavu wakumbwa wanategemea oppsisdition iwape information bila ku cross check aurhenicity ya hizo information from realiable independent party!!!!!!! President Trump tumbua CIA leaders they are feeding you craps.Ulisema wazi kuwa Marekani ilikosea kuua Gaddafi na Saddam Hussein.You were Right .The Current CIA leadersb are hooligans who
Doesn't know their works .Trump.make changes Quickly
 
Mkuu;
Umeandika, ''Nakuhakikishia kwamba CCM na huyo dikteta wenu mtapata taabu sana kwenye kampeni za uchaguzi 2020. Sijui mtawaambia mini wananchi hawa waliopigika''.

Wakati wewe unawaza kuhusu CCM na unayemuita dikteta kupata taabu wakati wa kampeni, gazeti la The Economist wanasema, ‘’Under the leadership of John Magufuli, the long-standing ruling party, the CCM, will retain a firm grip on power’’
 
Magazeti mengine yanaharibu tu fursa za kupiga pesa hasa ukizingatia huu ni mwaka wa mavuno kwa wapinzani kutoka kwa watoa misaada wetu wa nje.
Duh!
Niliposoma maoni yako imenibidi nicheke tu!
 
Sio kwamba wanajaribu kubalance mambo ili Kabendara aachiwe?!?
 

..kwani ccm iliajiri watumishi.wapya serikalini?

..huwezi kusema kwamba ktk Tz hii hakuna watu wa kutosha wa kuteuliwa ikiwa wapinzani watachukua dola.

..kama ulimaanisha mawaziri, siyo lazima mawaziri wote watoke chama kilichoshinda nafasi ya Uraisi.

..Vilevile usisahau kipengele cha katiba kinachosema Waziri Mkuu atatokana na chama chenye wabunge wengi bungeni au anayeungwa mkono na wabunge wengi. Katiba yetu imeona uwezekano wa vyama tofauti kushinda Uraisi na majority bungeni.
 
I believe wewe ndie mjinga namba moja kuleta vitu visivyo na sababu halafu unataka werevu wajadili, considering ulivyoisifia hiyo Intelligence Unit ya hao jamaa zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu;
Hakuna yeyote aliyelazimishwa kujadili thread yangu!

Wewe kama ni mwerevu na unadhani hii thread haina sababu basi nenda kwenye thread zenye sababu ya kujadili!

Kumbuka gazeti la The Economist limeandika, "Under the leadership of John Magufuli, the long-standing ruling party, the CCM, will retain a firm grip on power".
 
Mkuu;
Nimeyapenda maoni yako!

Unajua kuna baadhi ya watu wanaandika tu bila kujua mantiki ya kile wanachokiandika!

Yaani eti aliyeshinda Uchaguzi Mkuu 2010 anawekwa kando kwenye Uchaguzi wa 2015 ili kumpisha mgombea ambaye amehamia ndani ya chama siku tatu zilizopita!

Halafu huyo mgombea anayedaiwa mwaka 2015 alishinda anaamua pia kukiacha chama ambacho wanachama wake mpaka sasa wanapiga kelele wakidai alishinda uchaguzi mkuu 2015!

Hivi vituko utavikuta tu kwa watu ambao hawajui kwa nini wanashindwa katika chaguzi kuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…