abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Kama hakushinda waulize wapigania chanjo kwanini chanjo zimedoda wakati makada wa chadema ni mamilioni hii inamaanisha magufuli anasikilizwa hadi sasa ,muhulize mbowe kwanini machadema yamefuata mwongozo wa jpm dhidi ya gaidi mbowe aliye sema chanjo iwe lazima
Samia ndo alikuwa raisi ajae 2020-2025. Si BM, Lissu wala JPM.Kwahiyo Lissu ndio alishinda?
Ukweli ni kwamba maadui wa Magufuli waliofurahia kifo chake ni wachache sana na karibuni wote hao ni wanufaika wa ufisadi kwa namna moja au nyingine. Kutaka kuwafurahisha hao hakukuongezei mtaji wa kisiasa. Wanaompenda JPM kwa dhati ni wengi mno na ukiwahuzunisha hao kwa kumkashifi JPM kama wanavyofanya wanasiasa uchwara ni kujichimbia kaburi kwenye ulingo wa siasa za Tz!! Mliokosea hapo jiandaeni kuaibika!! JPM japo hayupo lakini hakuna mwenye ubavu wa kuweza kuvunja misingi aliyoiweka!! Kwa mfano huwezi kuimba wimbo wa "Tanzania ni nchi maskini" halafu utegemee watu watakuitikia!!, Pia huwezi kuimba wimbo wa "kuwatishia watu na corona" halafu utegemee watu watakuitikia!! Huwezi kupambana na kivuli cha Magufuli na ukashinda!! Kama unabisha waulize wanaohamasisha chanjo za corona na uvaaji wa barakoa!!! Magufuli ni mwanasiasà aliyefanikiwa sana!! Huwezi kubomoa alichokijenga, na ukijaribu unajibomoa mweñyewe!!
Ucaguzi ama uchafuziii? Kwani mizuka ama mikazooo!Nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huu ni uchambuzi mfupi tu wa "facts".
1. Samia alikuwa makamu wa Rais WA Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr JPJM. 2015-2020.
2. Magufuli alikuja kuliokoa jahazi lililokuwa linazama mikononi mwa Kikwete.
3. Magufuli alikuwa kiungo muhimu sana aliyeifufua CCM ambayo ilikuwa imejifia kwenye UFISADI, UDHAIFU na MAUCHAFU ya kila aina. Hata watu waliokuwa wanavaa manguo ya kijani walipigwa mawe.
4. Wakati wa Magufuli, CCM iliimarika na kustawi. Hata vijana wakapata hamasa ya kuishabikia.
5. Hayo yote yalifanyika kwa sababu, kwanza Magufuli alikuwa si mwanasiasa wa maneno maneno. Utendaji wake wa miaka mitano unajidhihirisha.
6. Samia hakuwahi kuwa na mvuto wa Kisiasa wakati wa Magufuli. Alibebwa bebwa tu. Watu wengi hawakumjua wala kumtilia maanani.
7. Samia sio president material. Hana ushawishi wa maneno wala wa vitendo. Hata akisimama jukwaani hana nguvu ya kisiasa.
7) (a) Hawezi kujipambanua kisiasa. Akigombea atafeli kabla hajaanza (isipokuwa tu labda kwa usaidizi wa state apparatus).
b) Hawezi kupambana katika ulingo wa Kisiasa. Ni mchovu.
c) Hana ushawishi kwa wananchi. Ushawishi ni karama ambayo hana. Hana kismati. (labda atumie uchawi na mapete ya kiganga).
d) Ameshawavuruga watu makundi kwa makundi (wamachinga, mamantilie, vijana, TOZO, Bandari ya bagamoyo, Bwawa la Nyerere, mgao wa umeme, maji pamoja na kurudisha mafisadi serikalini). Hili ni doa.
NB: CCM wakitaka waaibike 2025 wamuweke huyu mama. Watapata aibu ya karne.
Tena wanajilaani. Dkt Magufuli alifanya vitu toka moyoni. Alijua shida za watu maskini. Alihimiza watu wafanye kazi kujipatia kipato. Yeye ktk maisha yake aliwahi kuwa chinga wa kuuza maziwa, alifahamu kabisa maisha ya watanzania wa kawaida na alifahamu nini maana ya mlo wa siku. Ila bahati mbaya wateule wa Mama yetu wengi wao hawayajui maisha yetu ya kubangaiza, leo kawafukuza chinga wote na wamemdanganya akakope hela aje awajengee sehemu za biashara yaani akakope wakati Dkt Magufuli alituhakikishia nchi yetu ni tajiri.
Bwashee mbona povu la kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]
Alibaka chaguzi sababu ya ujinga wake tu ila kimsingi hakuna mtu mwenye akili angemkataa Magufuli amchague Lissu
[emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa bn ko unasema lissu alishind! Em tutajie sehemu ambayo walmkataa magufur moja t maana mbeya alishinda arusha alishinda moshi alishinda
Huo uwanja ni mali ya nani ? Maana tunajua walio beba pesa kwenye rumbesa walisema ni mali zao tena pesa za mboga tu na mkwele alisema zile pesa siyo mali ya serikali ,sasa uwanja wa chato ni mali ya mtu binafsi au wa serikali nipe jibu harakaKuna muhuni Kama aliyekwapua trilion 1.5? Na akaenda kujenga uwanja wa ndege Chato bila kupitishwa na Bunge tena kwa kampuni yake?
Nimesema Magufuli alishaua mfumo, hata kwa Samia haitawezekanaSasa kwa Samia ndio mnaweza kuondoa madarakani viongozi msiowataka?
Ukiondokana na hio hangover ya bwimbwi hilo ulilokunywa jana usiku tutaongea vizuri.
Yule alieruhusu kufanya biashara hata sehemu hatarishi alikuwa mjinga na mshamba pia kwa kutaka cfa za kijinga
Unataka uitwe jina la lile gang lingine ili muipasue Tanzania? Hakuna kitu kibaya kukalia bomu la kutegwa wakati una mchafuko wa tumbo. Sijui naeleweka, maana najistukia..... gang unajitesa bure!
Basi gombea wewe hiyo 2025.
Kabla na baada ya vyama vingi ilikuwajeCcm haijawai kushinda hata mara moja sasa wewe sukuma gang hizo fact umezitoa wapi
tulimpenda na ushamba wake dogo, unaumia nn
Mshindi anajulikana na tume kabla hata ya kura kupigwaHata Magufuli 2020 aligombea kwa state apparatus kwa nini isiwe kwa Samia?
NI AIBU KWA MWANA CCM KAMA WEWE KUANDIKA HAYA,Nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.