Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

Ukweli Ni kwamba... MH. Rais SSH, kwa kipindi Cha miezi nane tu kazi aliyoifanya/anayoifanya Ni Nzuri mno kwa maendeleo ya Taifa letu,
KURA YAKE NITAMPA/TUTAMPA ZAKUTOSHA. BE BLESSED HON. SSH.
Ukweli Ni kwamba... MH. Rais SSH, kwa kipindi Cha miezi nane tu kazi aliyoifanya/anayoifanya Ni Nzuri mno kwa maendeleo ya Taifa letu,
KURA YAKE NITAMPA/TUTAMPA ZAKUTOSHA. BE BLESSED HON. SSH.
sawa sawa!Uvambe wa miiwi ya itaso kura Kondoa!!!
 
Ni mpumbavu pekee anaye weza kusema Magufuli aliye shika vyeo kisiasa toka 1995 mpaka 2021 hakuwa mwanasiasa.

Kama hamumtaki Mama mjipange maana sonono litatamakaki kwa miaka mingine mitano baada ya 2025.

Tumuombee Mama afya tele na uongozi bora.
 
Ukweli Ni kwamba... MH. Rais SSH, kwa kipindi Cha miezi nane tu kazi aliyoifanya/anayoifanya Ni Nzuri mno kwa maendeleo ya Taifa letu,
KURA YAKE NITAMPA/TUTAMPA ZAKUTOSHA. BE BLESSED HON. SSH.
Kwa tume hii na katiba ya nchi iliyopo si kura yako au hata za wengine, CCM haizihitaji ili kushinda. Kwa hali ilivyo sasa hata kama watz wote msipoenda kupiga kura, CCM itashinda TU kwa kishindo.
 
Kwanza ni KOSA KUBWA SANA Tanzania Bara kuongozwa na Mzanzibar tunataka Katiba mpya kurekebisha haya.

Hatuwezi kuendelea kuongozwa na Mzazibar.PERIOD
 
Utakuwa ni msukuma wewe. Samike ni jina la kisukuma hilo.

Mama Samia tunae mpaka 2030, hizi hila zenu haziwezi kushindana na ukweli kuwa Mungu ndio mtoaji wa kila kitu.

Anajua utaishi mpaka tarehe ipi ya mwaka upi. Binadamu ni kujitutumua tu kama chatu, lakini hana ujanja wowote kwani hawezi kuongeza hata sekunde moja ya uhai wake.

Unayemdharau keshahudhuria mikutano ya kidunia tena ile mikubwa na matunda ya yeye kuwepo na kuchangia kwa maneno ni pesa nyingi zinazotumika serikalini.

Huyo JPM mwisho wake ulikuwa ni Ethiopia hakuwahi kuvuka zaidi ya hapo. Uwe na heshima unapojadili masuala yenye kuugusa mustakabali wa Taifa.
 
Ukiwa ni mwenye busara hutakiwi kumrithi adui wa adui yako. Tengeneza wa kwako kwa mazingira ya asili. Ukiwa tayari kumrithi adui wewe huna tofauti na mshirikina.
 
Ukiacha uchaguzi wa 2005,awamu ya kwanza ya JK,uchaguzi mwingine wowote uliofuata, ulikuwa ni mgumu Sana Kwa mgombea wa CCM.Awamu Kwa mfano ya 5,ilikuwa ni shida Sana CCM kupenya.Hivyo haijalishi ni mgombea gani amewekwa,lakini ukweli ni kwamba CCM Kwa sasa haiwezi kujisimamia na ikashinda uchaguzi.


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Samia sio president material. Hana ushawishi wa maneno wala wa vitendo. Hata akisimama jukwaani hana nguvu ya kisiasa.

NB: CCM wakitaka waaibike 2025 wamuweke huyu mama. Watapata aibu ya karne.
I'd like to differ, its the other way round,
na 2025...Utashangaa!.

P
 

Ni kitu wasichokielewa. Kwamba, Watanzania walijionea wenyewe huduma muhimu zikisogezwa karibu, haki kutendeka, maskini, yatima, kusaidiwa, migogoro ya ardhi, mashamba, nyumba maskini kutatuliwa. Elimu bure. Masoko ya madini nchi nzima.

Matajiri wachache kuchukua maelfu ya eka Tanga, Tanzania nzima aliwadhibiti, wakati mwingine alitumia ubabe ardhi nyingi ilirudishwa kwa Watanzania, wakagawia Watanzania maskini.

Wale washirika wa mabeberu kuhusu madini alipambana nao kama Huyu ndugu (Barms, Hamatan, Tundu lissu).

Mjane, yatima, mlalahoi, alisikilizwa na mkuu wa mkoa, wilaya RPC, Mkuu wa kata, waziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…