Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

Kwenye vikao wanaendaga na kapu la hela hivyo lazma mawazo yabadilike
 
Sukuma gang naomba nimwambie huwezi kushindana na mwenyekiti wa chama,rais,amiri jeshi mkuu,dhidi ya marehemu,mbowe na lipumba tu wameshindwa kuwatoa madarakani ndio wataweza kwa rais,tafuteni kazi nyingine za kufanya
 
Hiyo usahau
 
Watu wengi hawana kumbukumbu. Huwa wanaishi kwa matumaini tu ambayo hata hayapo.
 
Hivi uko Tanzania hii kweli wewe?mnaielewa hii nchi kweli na mifumo iliyopo rais wa nchi kabisa unamfananisha na balozi wa nyumba kumi
 
Bila katiba mpya itakayoweka tume huru ya uchaguzi Mama atashinda kwa kishindo
 
Yaani wapinzani bwana wanachezeshwa ngoma na ma ccm! Kamwe wapinzani hawawezi kuchukua nchi kama hawatabadilika
 
Tuache kujidanganya nafcn mwetu,kwa katiba hii narudia kwa katiba hii chakavu CCM itatawala milele
 
Lakini uchaguzi wa 2015 si uliona timbwili lake manusla CCM iangukie pua.
 
Dah!! Mbona imekuwa nogwa kwa mama mapema hivi ya kuwazia uchaguzi 2025 tumpe nafasi mama afanye kazi,vvinginevyo ni uroho wa madaraka na mnakatisha tamaa ya kufanya kazi, tumuunge mkono sehemu ya kukosoa tukosoe kwa adabu, akifanya vizuri tumsifie huyu ndio rais wetu

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Lakini uchaguzi wa 2015 si uliona timbwili lake manusla CCM iangukie pua.
Hoja ya Mleta Mada na hata maelezo yangu sio "CCM Bye bye" bali "Samia bye bye"!! Yaani anajidanganya muscles za akina Ndugai zitasababisha CCM kumpiga chini Samia!
 
Bila katiba mpya itakayoweka tume huru ya uchaguzi Mama atashinda kwa kishindo
SSH hajamaliza hata Mwaka mmoja tayari mnaanza kumsifu. Kwani watanzania tuna tatizo gani?
Anaharibu bado anasifiwa. Sijui ni elimu ama ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…