Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Nasikia alisema kwamba alimwelewa sana Chuma, alifundishwa akafundishika!!! 🙂 Nilivyoona anakohoa kama mara elfu hivi na kitu pale akihutumia BRT kwa dakika 3 (ieleweke Lowassa, pamoja na uzee na ugonjwa wake, alikuwa anahutubia dakika hadi 5 nzima!!!), basi nikathibitisha hapo tumepigwa!!!Ukweli usiopingikika ni kuwa Mama amepima Upepo na ameshaona maono kuwa "Hatoshi". Na kwa mwenye uwelewa wa hali ya Kisiasa kwa sasa nchini analiewelewa hili dhahiri bila ya yeye kusema lolote.
Hawa viwavi wanaoshangilia kuupiga mwingi kwa Bi Mkubwa, katu hawawezi kukuelewa.Siyo kweli ingekuwa mama kapokea kijiti toka kwa kikwete basi ikulu ingekuwa tamu sana ila ukumbuke kapokea kijiti toka kwa magufuli machine ya mipango na kazi
Dhaifu kwako hata kwenye mpira unapo poteza mchezaji bora lazima utafute mchezaji bora ,na huyo mchezaji lazima atatakiwa kufiti pengo la aliye ondoka ,mama mwenyewe alisema kazi aliyo achiwa na magufuli ni kubwaHoja dhaifu sana hii Ndugu. Pole mno.
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]hiyo bahati haiji mara mbili,hapo kawa rais kwa hisani ya meko kufa kwa covid...sio kwa mapenzi ya ccmRais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 1887958
Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru
Atapata kura yako tuNdio hana ila tutamlazimisha tu, atake asitake
USSR
Linachelewa2025 ni mbali, lolote linaweza kutokea🐒
Hawana akili awajui kuwa hata kikwete angechukua nchi mara ya pili baada ya magufuli lazima angelazimika kupambana sana ili kufiti pengo la jpm ingembidi kutoka ikulu kuchapa kazi tifauti na hapo nyumaHawa viwavi wanaoshangilia kuupiga mwingi kwa Bi Mkubwa, katu hawawezi kukuelewa.
Usimtaje kabisa huyu mtu wako na JPM kwenye sentensi moja 🙂Hawana akili awajui kuwa hata kikwete angechukua nchi mara ya pili baada ya magufuli lazima angelazimika kupambana sana ili kufiti pengo la jpm ingembidi kutoka ikulu kuchapa kazi tifauti na hapo nyuma
mku, usijipe tabu bure, hiyo ni kazi ya chombo cha Mahakama kuamua kuwa Anahatia au hana hatia.NINAJUA MOYONI KWAKO WAJUA MBOWE SIO GAIDI !
Wewe ulikuwa unajua John Pombe Joseph Magufuli angekufa lini mpaka uone kuwa ndiyo alikuwa kila Kitu kwa Maendeleo ya Tanzania na kwamba Wengine ama wasingefaa au hawawezi kufanya makubwa zaidi yake?Dhaifu kwako hata kwenye mpira unapo poteza mchezaji bora lazima utafute mchezaji bora ,na huyo mchezaji lazima atatakiwa kufiti pengo la aliye ondoka ,mama mwenyewe alisema kazi aliyo achiwa na magufuli ni kubwa
Huyu hata mwaka hajamaliza keshaanza kuwaza uchaguzi 2025! Asije akawa mgombea pekee huyu!That's a political language. Angesema: ^Sitagombea 2025,^ tungemwelewa!!! Leo hana wazo la kugombea; vipi wazo hilo likimjia kesho au keshokutwa, kama hili la ^ugaidi^ wa Mr Hai!???
Umeona wapi Tanzania Waziri Mkuu anakuja kuwa rais? Hata VP hapaswi.Na ni vizuri iwe hivyo.
Majaliwa 2025 kijiti ni chako baba, Tunakuombea
Kimeumana tenaRais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 1887958
Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru
PIA, SOMA:
- Shaka: Gazeti la Uhuru limepotosha Rais hakusema kuwa hatogombe 2025