Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

JamiiForums1591047038.jpg
 
Inawezekana Mama Samia alisema hivyo kupima upepo ukoje

Ila kwa CCM Yuko sahiihi hairuhusiwi kuanza kampeni kabla ya muda Ni kosa .Tamko lake liko sahihi wale wapiga debe wa ohhh lazima agombee katiba ya CCM hairuhusu na wale mnaosema labda fulani ndiye mnakosea katiba ya CCM hairuhusu.Tafuteni hoja zingine za kujikomba iwe kwa Raisi Samia ,Majaliwa au yeyote.Filimbi ya kuanza kampeni haijapigwa.Wajipendekezaji huu sio wakati wake.Filimbi itapigwa 2025
Unaropoka tu basi nikajua unakijua chama kumbe sifuri kabisa Mpwa! hahahaah Shaka katoa KANUSHO huko, mko so disorganized dadeeeki
 
Tunaomba kauli ya Mh. Samia Suluhu Hassan kuhusu mada hii. Watanzania Wana kiu ya kusikia kauli yake bila kusemewa na Mtu au na chama.

2877438_photo_2021-08-11_09-06-26.jpg
 
Hatogombea, Watagombea Gwajima, Bashite, Dotto na Kheri James ili Sukuma Gang waendelee kutawala
 
Wewe ulikuwa unajua John Pombe Joseph Magufuli angekufa lini mpaka uone kuwa ndiyo alikuwa kila Kitu kwa Maendeleo ya Tanzania na kwamba Wengine ama wasingefaa au hawawezi kufanya makubwa zaidi yake?
Wenzako tunajua kumsoma mtu siku ya kwanza tu na kujua kama ni takataka au la
 
Nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Huu ni uchambuzi mfupi tu wa "facts".

1. Samia alikuwa makamu wa Rais WA Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr JPJM. 2015-2020.

2. Magufuli alikuja kuliokoa jahazi lililokuwa linazama mikononi mwa Kikwete.

3. Magufuli alikuwa kiungo muhimu sana aliyeifufua CCM ambayo ilikuwa imejifia kwenye UFISADI, UDHAIFU na MAUCHAFU ya kila aina. Hata watu waliokuwa wanavaa manguo ya kijani walipigwa mawe.

4. Wakati wa Magufuli, CCM iliimarika na kustawi. Hata vijana wakapata hamasa ya kuishabikia.

5. Hayo yote yalifanyika kwa sababu, kwanza Magufuli alikuwa si mwanasiasa wa maneno maneno. Utendaji wake wa miaka mitano unajidhihirisha.

6. Samia hakuwahi kuwa na mvuto wa Kisiasa wakati wa Magufuli. Alibebwa bebwa tu. Watu wengi hawakumjua wala kumtilia maanani.

7. Samia sio president material. Hana ushawishi wa maneno wala wa vitendo. Hata akisimama jukwaani hana nguvu ya kisiasa.

7) (a) Hawezi kujipambanua kisiasa. Akigombea atafeli kabla hajaanza (isipokuwa tu labda kwa usaidizi wa state apparatus).

b) Hawezi kupambana katika ulingo wa Kisiasa. Ni mchovu.

c) Hana ushawishi kwa wananchi. Ushawishi ni karama ambayo hana. Hana kismati. (labda atumie uchawi na mapete ya kiganga).

d) Ameshawavuruga watu makundi kwa makundi (wamachinga, mamantilie, vijana, TOZO, Bandari ya bagamoyo, Bwawa la Nyerere, mgao wa umeme, maji pamoja na kurudisha mafisadi serikalini). Hili ni doa.

NB: CCM wakitaka waaibike 2025 wamuweke huyu mama. Watapata aibu ya karne.
 
Back
Top Bottom