Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

Tangu lini ccm inahitaji kura ya mtu kushinda uchaguzi?

Lisukuma gang wahed jinga kabisa.
 
Kama ni chuki ni kwa sababu ya kumuweka Mbowe jela kwa kesi feki, na si kwa sababu ya huyo mungu wenu wa Chato, wengi hatumpendi na tunaendelea kufunguwa champagne kusherehekea kifo chake, na Mungu amuongezee adhabu ya kaburi.
 
Kwahiyo tufanye namna yoyote chuma kirudi mkuu 🤣🤣🤣
 
Samia hahitaji kukubalika na wananchi ili awe Rais 2025, Magufuli aliua kabisa mfumo wananchi kuwaondoa madarakani Viongozi wasiowataka

Kwa jinsi Magufuli alivyoharibu mifumo, Samia atashinda kwa asilimia kubwa zaidi kuliko Magufuli japo unasema hakubaliki

Mark my Words..
 
Nani kakwambia ccm inategemea uchaguzi kubaki madarakani
 
Akigombea atashinda kwa sababu state apparatus zitamshindisha. That is obvious.

Lakini hana merits za kisiasa.

Hana kismati cha kisiasa. Hana Karama.

Ni ngumu "kumshindisha" mtu ambaye hajiwezi yeye binafsi.
Kama mtangulizi wake au nasema uongo ndugu yang 🤣🤣🤣
 
Akigombea atashinda kwa sababu state apparatus zitamshindisha. That is obvious.

Lakini hana merits za kisiasa.

Hana kismati cha kisiasa. Hana Karama.

Ni ngumu "kumshindisha" mtu ambaye hajiwezi yeye binafsi.
Hilo ni la kumlaumu Magufuli, aliua kabisa mfumo wote wa demokrasia kiasi kwamba wananchi hata Diwani tu hawana uhuru wa kumkataa kama chama kikimpitisha

Magufuli ndie aliyeharibu nchi, sio Samia
 
Kwahiyo tufanye namna yoyote chuma kirudi mkuu 🤣🤣🤣
Si Sukuma gang wana Askofu wao anayejinasibu kuwa na uwezo wa kufufuwa wafu?

Amfufuwe huyu mungu wao wa Chato.

Mungu wa kweli alibaini mipango michafu ya sukuma gang na kumuondowa kinara wao bila umwagaji damu na Taifa limenusurika.

Hakuna pengo lolote zaidi ya kuwa tuna faida.
 

Bahati mbaya sana watu kama Bashiru hawajitokezi hadharani kama Pole pole anavyofanya na kutetea yale waliyoyafanya wakiwa na Jiwe; badala yake wanakuja kwa njia za panya!!!
 
Ila kiukweli Samia hakubaliki Kwa watanzania wengi hasa tabaka la chini ! Fanya research ndogo tu mtaani kwako uone wananchi wa kawaida mtazamao kuhusu huyu rais utaona ! Achana na mashabiki wa mtandaoni wengi ni mihemko tu .


....tungekuwa na upinzani imara na unaojielewa angepata shida sana hiyo 2025 kama atagombea lakini Kwa wapinzani Hawa akina lema, sugu , lisu,mbowe, msigwa etl , CCM hata wamsimamishe nabii TITO anashinda tena kihalali kabisa.
 
Wapinzani wa nchi hii ni wahuni tu, hawajui wanachokitaka.
 
Asante kwa maoni. Angalia na wewe usije kuwa sehemu ya vijigazeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…