Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

Sukuma gang wanateswa sana na Samia wanatamani ile mechi waliyopoteza 17,march irudiwe.
 
Samia hana merits.

Ukitaka kubebwa lazima ubebeke.

Huwezi kubeba gunia la misumari.

Magufuli alikuwa ana "soko" kisiasa.

Ni mtu aliyekuwa anaweza kuuzika. Ni rahisi kumshindisha. Ana merits.
Alikua na soko kwa lipi?
 
Kwa akili yako ulitarajia kabisa Lissu ashinde? Hata kwa kutumia tume huru?

Kwa lipi?

Badala ya kujibu swali unaliza swali juu ya swali? Ukweli ni kwamba uchaguzi haukuwa wa huru hivyo vihoja vya nani angeshida hatuvijui na ndiyo maana tuna chaguzi! Tuache tabia za kujidanganya kama vile Magu alikuwa malaika wakati kaaribu sana demokrasia. Unasema eti Rais Samia hataweza wakati unajua Magu ndiyo kawapa nguvu usalama wa taifa na Polisi kuwa wezi wa kura sasa mtu yeyote wa CCM anashinda kwa mazingira haya. Vilevile bila tume huru ni lipumba na wwngine wa kupandikizwa ndiyo watagombea
 
Hawana focus hawajui wanasimamia Nini , sera zao ni zipi ?? kiasi ukimchukua mwanachama wa kawaida level ya diwani umuulize wewe Sera za chama CHaKE hajui , wanachojua ni kelele tu na kusubir matukio watembee nayo .
Una hakika hawajui au umekariri?.Nchi haina usawa wakisiasa alafu ilo wewe ulioni kua ndo tatizo la wapinzani wengi kukaa kimya na mawazo yao.kungekua na demokrasia inayoeleweka tungeweza kua na hukumu sahihi tofauti na hii yako yakimagumashi iliyolemea upande mmoja.
 
Ccm ndo inamalizikia hivyo.hizo porojo zako kua Jpm aliifufua kadanganye wajinga.Ccm ilianza kuded ilivyoingia serikali ya 4 na haijawai kufufuka,ndo maana toka kipindi hicho inatumia mwavuli wa mwenyekiti kubaki madarakani nasio vinginevyo.Kwahiyo hakuna cha Jpm wala mama wote wale wale.Na wewe kinachokusumbua wala sio uzalendo bali ubinafsi binafsi.inaonekana ulikua team chato sasa mambo yamebadilika unaleta kiwewe.
 
CCM ndio ambao hawajielewi kuliko hata Upinzani
Hawana muendelezo, kila mtu anakuja na lake
Kama sio kutumia manguvu na Bunduki kutisha watu, CCM ina ushawishi gani?

Au kama upinzani haujielewi kwa nini nyie msitoke huko CCM mnakolalamika mkaunda Upinzani unaofaa kama mna makende?
 
Unajua ushawishi wa mange huko Instagram wakati na baada ya utawala wa jpm au watu gan unaowazumgumzia ww
 
Hawana focus hawajui wanasimamia Nini , sera zao ni zipi ?? kiasi ukimchukua mwanachama wa kawaida level ya diwani umuulize wewe Sera za chama CHaKE hajui , wanachojua ni kelele tu na kusubir matukio watembee nayo .
Kama viongozi wa juu kama Waziri anaweza kuwapongeza majambazi kama akina Sabaya, CCM ina watu wa chini wanaojielewa?
 
Hivi unaposema ccm iliimarika wakati ea jpm una maanidha nini? Yaani asingefanya wizi wa kura mbona ndo awamu ambayo ingebomoa ccm! Na still awamu yake ya pili asingefanya wizi ndo ilikuwa imeisha kabisa ccm
 
Mpaka sasa Mama hana Mpinzani, labda kama Katiba na Tume ya Uchaguzi itabadilishwa.. Otherwise she is there to stay mpaka 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…