Resurrection
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 952
- 1,267
Kaka Lorenzo uchaguzi sio kura ,uchaguzi ni matangazo atakaye tangaziwa ndie mshindi kama huna kazi katafute kazi ufanye huu upupu wako hapa hakuna utakaomsumbua .Mama SSH ndie raisi bora kupatikana Tanganyika/Tz na mutakuja mkumbukaa.Nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huu ni uchambuzi mfupi tu wa "facts".
1. Samia alikuwa makamu wa Rais WA Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr JPJM. 2015-2020.