Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

Lala salama Amina.. Mapenzi ndio yamekatisha uhai wako.. Kama halikuwa kosa lako damu yako haitakubali kukaa kimya
 
pole kwa familia ya wafiwa ila wanaume hebu tupunguze hasira na tusizingatie sana hawa wanawake kweli kuna muda wanakera unatamani ufanye jambo baya ila hebu yanapotukuta majaribu kama haya tufikirie kuna maisha baada ya mambo hayo na wanawake wapo wengi tusifike sehwmu ya kudhuru au kutoa uhai wa mtu.
japo sijajua sababu ya tukio hilo ila naamini mapenzi yamehusika kwa asilimia kubwa
 
Hakuna cha kiongozi wa dini, waziri au Raisi. Swala ni kuacha kuzini, hii dhambi ndo inawatesa sana watu na kuaangamia, Everything has a price to pay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…