Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

Kuna fedha nyingi ziliwekezwa CHATO !!Waipe CHATO mkoa ili kufidia uwekezaji uliofanyika!hata kama Mwendazake ana mapungufu nae ni Binadamu Mkoa utawafaidisha wana CHATO na wilaya Mpya TUACHE CHUKI NA HASIRA!MBONA KARIBIA MA PM WOTE WASTAAFU WANA MIKOA?HATA MAJALIWA ATAPEWA MKOA TU!!KWA HILI NASIMAMA NA NDUGU ZANGU WANYAMBO NA THE LIKE!!!
 
Wewe ni Raisi anayejaa kwenye nini?
 
Mimi ninachofurahi ni wilaya za biharamulo na ngara kutolewa kagera zilikuwa mbali mno na bukoba just imagine kutoka bukoba Hadi ngara ni km 400 na kutoka bukoba Hadi biharamulo almost 300km ndani ya mkoa wa kagera.


Pia hizo wilaya mbili zipo tofauti Sana na wilaya za mkoa wa kagera hasa kimaendeleo.

Hebu zitengenezewe mkoa wake ili ziangaliwe vzr zaid
 
Chunya ina jumla ya wakazi wangapi ?
Kama kigezo ni wakazi tu niambie Dar es Salaam inapaswa kuwa na mikoa mingapi?

Maana Dar Ina Milioni 6 wakati mkoa wa Iringa una watu Milioni 1.0
 
Kwani hilo pendekezo la kuifanya mkoa alilitoa mwendazake au ndo huo mwendelezo wa kutoona mazuri take,mbona Siku ile Dodoma alikataa wazi wazi kujengwa jengo LA takukuru kule na kuwachana mbashara waache kujipendekeza.

Mi naona jamaa analaumiwa bule lakini maamuzi mengine alikua hahusiki nayo
 
Uko sahihi ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…