Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Kwani Wana chato wanasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madiwani wa CCM wamesema "NO" hawahitaji mkoa wa Chato, sasa nani huyo anapinga maamuzi ya wawakilishi wa wananchi?Ni hitaji la maendeleo!
hadi mkongwe umeibuka, kweli amekukeraMama hataki mapambio.
Madiwani wameomba Busanda ibakie Geita isipelekwe Chato!Madiwani wa CCM wamesema "NO" hawahitaji mkoa wa Chato, sasa nani huyo anapinga maamuzi ya wawakilishi wa wananchi?
yani lazima tuvimbe mjini hapa wew subiria tu
Mwe!Hiki ndo kitu gani?kwamba Jiwe alikuwa amewazimisha watu na sasa baada ya kuondoka kwake raia wameanza kuibuka.
Makasiriko
Fisiemu bhana!!! Mchana inzi usiku umbu!!! Kwani wakati huo mchakato ukiwa hatua za awali hawakuyajua hayo?Baraza la Madiwani Geita limeukataa Mkoa wa Chato. Je, Hayati Magufuli angekuepo wangeweza kukataa hiki kitu. CCM wakikusifia au wakikubaliana na wewe ujue wana maslahi au ni Unafiki tu.
Wanajitahidi kufuta Legacy ya Shujaa wetu. Sio sahihi Hata kidogo.
=======
Baraza Maalum la Madiwani Halmashauri ya Wilani Geita Mkoa wa Geita wamepinga wilaya mpya ya Busanda pamoja na hifadi ya Taidfa ya Kisiwa cha Rubondo kuchukuliwa na mkoa mpya wa Chato unaotarajiwa kuanzishwa hivi karibuni wakidai kuwa itasababisha wananchi kusafiri umbali wa kilomita 200 kwenda kutafuta huduma na na kusababisha mkoa wa Geita kukosa sifa kiutawala.
"Tunaenda kupata huduma hii Chato -- kilomita zaidi ya 200. Sasa, ni namna gani tunazidi kuwaongezea wananchi wetu mzigo wakati wakihitaji huduma. Mimi naona mapendekezo haya yaheshimiwe..." Bw. Salehe Juma, Diwani wa Kata ya Nyarugusu
Kisiwa cha Rubondo wakiache katika mkoa wa Geita kwasababu mkoa mpya ambao unaenda kuundwa, mkoa wa Chato, ukiangalia Ngara kuna misitu
Mkuu wa wilaya ya Geita Fadhili Juma amaesema amepeleka mapendekezo Serikalini ya kukataa mpango huo wa kuchukua maeneo ya wilaya hiyo kwenda Chato kwakuwa yatasababisha athari kwa wananchi.
"Maazimio ambayo natoka nayo hapa na muhtasari, topo ridhaa kuacha kisiwa cha Rubondo lakini hatutakubali. Bora mkoa usipatikane kuliko wilaya ya Busanda kuingia kwenye mkoa mpya. Tuliwapa sababu zote kwamba ukitoa wilaya ya Busanda kwenye mkoa wa Geita maana yake mkoa wa Geita unakosa sifa za kuwa mkoa."
Hii inamaanisha alikuwa na ubinafsi, ulafi na choyo... mtu unajiuliza ilikuwaje kiwanja cha ndege cha Mugumu - Serengeti kikaachwa mahala ambapo pangezalisha fedha nyingi za kigeni toka kwa watalii wanaozuru Serengeti badala yake kikajengwa mahali ambako mbuga inafufuliwa!!!Marehemu alikuwaga mjinga kwelikweli, yaani uende ukakate mkoa uliokatwa kutoka wilaya zingine uache mikoa kama Tabora na Morogoro yenye maeneo makubwa! Uendawazinu huu!
Eti tena chato umekubalika kua mkoa wenye wilaya 5 ambazo ni Chato,Bukombe, Kakonko, Biharamulo na Ngara.Baraza la Madiwani Geita limeukataa Mkoa wa Chato. Je, Hayati Magufuli angekuepo wangeweza kukataa hiki kitu. CCM wakikusifia au wakikubaliana na wewe ujue wana maslahi au ni Unafiki tu.
Wanajitahidi kufuta Legacy ya Shujaa wetu. Sio sahihi Hata kidogo.
=======
Baraza Maalum la Madiwani Halmashauri ya Wilani Geita Mkoa wa Geita wamepinga wilaya mpya ya Busanda pamoja na hifadi ya Taidfa ya Kisiwa cha Rubondo kuchukuliwa na mkoa mpya wa Chato unaotarajiwa kuanzishwa hivi karibuni wakidai kuwa itasababisha wananchi kusafiri umbali wa kilomita 200 kwenda kutafuta huduma na na kusababisha mkoa wa Geita kukosa sifa kiutawala.
"Tunaenda kupata huduma hii Chato -- kilomita zaidi ya 200. Sasa, ni namna gani tunazidi kuwaongezea wananchi wetu mzigo wakati wakihitaji huduma. Mimi naona mapendekezo haya yaheshimiwe..." Bw. Salehe Juma, Diwani wa Kata ya Nyarugusu
Kisiwa cha Rubondo wakiache katika mkoa wa Geita kwasababu mkoa mpya ambao unaenda kuundwa, mkoa wa Chato, ukiangalia Ngara kuna misitu
Mkuu wa wilaya ya Geita Fadhili Juma amaesema amepeleka mapendekezo Serikalini ya kukataa mpango huo wa kuchukua maeneo ya wilaya hiyo kwenda Chato kwakuwa yatasababisha athari kwa wananchi.
"Maazimio ambayo natoka nayo hapa na muhtasari, topo ridhaa kuacha kisiwa cha Rubondo lakini hatutakubali. Bora mkoa usipatikane kuliko wilaya ya Busanda kuingia kwenye mkoa mpya. Tuliwapa sababu zote kwamba ukitoa wilaya ya Busanda kwenye mkoa wa Geita maana yake mkoa wa Geita unakosa sifa za kuwa mkoa."
Mwendazake zake alikuwa ni MWEHU hata kama ni kupendelea kwenu siyo kwa kiwango hicho.
Iko mikoa na wilaya kubwa sana hapa nchini pengine ndiyo ingestahili kuhawanywa. Kwa mfano wilaya ya Kiteto, Chunya, Kilindi, Mahenge, Tabora nk.
Wilaya ya Chunya ni kubwa kuliko baashi ya mikoa. Sasa huyu mtu ambaye alikuwa anaoendelea kila kitu kwenda kijijini kwake ndiyo mnamuita SHUJAA? Wengine wanamuita Mzalendo!!
Poleni sana yule alikuwa IBILISI ndiyo maana Mungu hakupendezwa na UPUMBAVU wake
Eti tena chato umekubalika kua mkoa wenye wilaya 5 ambazo ni Chato,Bukombe, Kakonko, Biharamulo na Ngara.
Hivyo Geita itabaki na wilaya 4ambazo ni Geita, Nyang'hwale, Mbogwe na Sengerema
Basi mi nilijua watachota wilaya moja a mbili geita kisha sengerema wataivutia geita na wataongeza wilaya ya kisesa ili ifidie kwenye pengo la sengerema
Marehemu alikuwaga mjinga kwelikweli, yaani uende ukakate mkoa uliokatwa kutoka wilaya zingine uache mikoa kama Tabora na Morogoro yenye maeneo makubwa! Uendawazinu huu!
Mbona Kahama hawalazimishi iwe mkoa_? Kama hivyo Geita iwe wilaya ipoteze hadhi ya mkoa Chato uwe mkoa
Sasa wewe ni mtu wa ajabu kwelikweli.Sorry, mimi sio pro-mwendazake but huaga sipendi pia mtu kusingziwa; hivi kuna siku mwendazake aliwahi kusema kwamba anataka Chato iwe mkoa? I hope hili lilisikiwa mara ya kwanza wakati wa mazishi yake