Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda hebu uwe na Shukurani kumbuka Magufuli alivyokubeba
Kikao cha RCC kimeridhia Chato iwe mkoa na utakuwa na wilaya 5.Sasa uongo wangu ni UPI hapo? Umesoma?
Baraza la Madiwani Geita limeukataa Mkoa wa Chato. Je, Hayati Magufuli angekuepo wangeweza kukataa hiki kitu. CCM wakikusifia au wakikubaliana na wewe ujue wana maslahi au ni Unafiki tu.
Wanajitahidi kufuta Legacy ya Shujaa wetu. Sio sahihi Hata kidogo.
=======
Baraza Maalum la Madiwani Halmashauri ya Wilani Geita Mkoa wa Geita wamepinga wilaya mpya ya Busanda pamoja na hifadi ya Taidfa ya Kisiwa cha Rubondo kuchukuliwa na mkoa mpya wa Chato unaotarajiwa kuanzishwa hivi karibuni wakidai kuwa itasababisha wananchi kusafiri umbali wa kilomita 200 kwenda kutafuta huduma na na kusababisha mkoa wa Geita kukosa sifa kiutawala.
"Tunaenda kupata huduma hii Chato -- kilomita zaidi ya 200. Sasa, ni namna gani tunazidi kuwaongezea wananchi wetu mzigo wakati wakihitaji huduma. Mimi naona mapendekezo haya yaheshimiwe..." Bw. Salehe Juma, Diwani wa Kata ya Nyarugusu
Kisiwa cha Rubondo wakiache katika mkoa wa Geita kwasababu mkoa mpya ambao unaenda kuundwa, mkoa wa Chato, ukiangalia Ngara kuna misitu
Mkuu wa wilaya ya Geita Fadhili Juma amaesema amepeleka mapendekezo Serikalini ya kukataa mpango huo wa kuchukua maeneo ya wilaya hiyo kwenda Chato kwakuwa yatasababisha athari kwa wananchi.
"Maazimio ambayo natoka nayo hapa na muhtasari, topo ridhaa kuacha kisiwa cha Rubondo lakini hatutakubali. Bora mkoa usipatikane kuliko wilaya ya Busanda kuingia kwenye mkoa mpya. Tuliwapa sababu zote kwamba ukitoa wilaya ya Busanda kwenye mkoa wa Geita maana yake mkoa wa Geita unakosa sifa za kuwa mkoa."
Aisee! Na bado vyombo vya dola viko kimya!Naona taratibu analazimisha akili zake kutoka kwenye makalio yake mapana kwenda kwenye his empty head.
Mama yetu mpendwa usimuonee huruma huyu shetani mchinje kabisa na umtenganishe kichwa chake na mwili.
Hafai na hana haki ya kuendelea kuishi.
Kuanzishwa kwa huu mkoa ni hitaji la maendeleo au kumuenzi Magufuli?Mkoa wa Chato uko pale pale na Busanda wenyewe wanataka kwenda Chato.
Geita itabaki na Mbogwe na Nyang'wale!
Aliye kuambia kuwa kila eneo lenye maendeleo ni lazima liwepo Geita tu na si kwingineko nani vile🤔!?
Ni hitaji la maendeleo!Kuanzishwa kwa huu mkoa ni hitaji la maendeleo au kumuenzi Magufuli?
Hii nchi imechezewa sana, au nasema uongo mzinzi mwenzangu?"I wish i kudu be IGP...."
Mungu alichelewa sana kutufanyia wepesi... ila tumeambiwa tumshukuru kwa kila jamboMarehemu alikuwaga mjinga kwelikweli, yaani uende ukakate mkoa uliokatwa kutoka wilaya zingine uache mikoa kama Tabora na Morogoro yenye maeneo makubwa! Uendawazinu huu!