Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

Chato itakua Mkoa muda si mrefu,

Sote tulishakubaliana kuhusiana na hili.
 
Jiwe kweli alikuwa hafai.
Mkuu mimi sipati picha hawa Mataga Jiwe enzi zake aliwafanya nn Wanaccm na Watendaji wa Serikali. Hivi sasa wengi wao wamekuwa tofauti sana na mipango yote ya Mwendazake.
 
Hiv mtu anatoka ngara anaenda bukoba huez ona ni mbali sana anatoka biharamulo anaenda bukoba huon kama ni mbali ...
 
Nitarudi kusoma vizuri hii habari..bado sijaelewa hiyo geografia ya chato na geita.
 
Kwan mkoa wa Geita ukiitwa Chato na maeneo yakabaki kama yalivyo si mwendazake atalidhika !!!?
 
Sorry, mimi sio pro-mwendazake but huaga sipendi pia mtu kusingziwa; hivi kuna siku mwendazake aliwahi kusema kwamba anataka Chato iwe mkoa? I hope hili lilisikiwa mara ya kwanza wakati wa mazishi yake
Inshu sio kumsikia, kwani kuna sehemu aliwahi kusikika akitaka uwanja wa ndege mkubwa, hospitali ya rufaa, chuo kikubwa cha VETA, iwe kanda ya uhifadhi, lijengwe daraja la km3.4 juu ya maji, ??basi na hilo la chato kuwa mkoa usingeweza kulisikia moja kwa moja toka kwake, lakini yalikuwa ni maagizo yake, moja kwa moja, au sio moja kwa moja au viongozi kujipendekeza kwake.Unakumbuka juu ya bank ya crdb, aliposema kuwa research amefanya yeye kuna wateja sana?!!
 
Hata kama ingekuwa Katiba mzuri haingekuwa kikwazo kwake. Hiyo mbovu tu haikuwa kikwazo pia.
Sawa mkuu!!kwani kina jk si wameongoza kwa katiba hii hii, mbona hawakuwa hivyo?ni mangapi mazuri yamo kwenye katiba hii lakini kwake hayakuwa na maana yoyote??kwa kushirikiana na bunge, mahakama?
 
Hivi hilo la chato kuwa mkoa likikwama, je hili la Kisesa kuwa wilaya nalo litapotea aka litaendelea? Mana Naamini kisesa kuwa wilaya mojawapo ya jiji la mwanza ilikuwa ni impact ya chato!
 
Back
Top Bottom