Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

Sorry, mimi sio pro-mwendazake but huaga sipendi pia mtu kusingziwa; hivi kuna siku mwendazake aliwahi kusema kwamba anataka Chato iwe mkoa? I hope hili lilisikiwa mara ya kwanza wakati wa mazishi yake
Ulitaka ajitokeze aseme?
 
Kuweka kila kitu Chato, si jambo Mbali lilimfurahisha kila mwenye akili, wakiwemo hao madiwani.

Kuna wakati unajiuliza juubya uwezo wa marehemu katika kufikiri na kufanya maamuzi, unashindwa kuelewa kama alikuwa sawa wakati wote maana kuna mambo ambayo hata average brain, hawezi kufanya.
Kuna swali aliulizwa waziri kama wananchi waaruhusiwe kuanika mazao uwanjs wa chato au wspewe jeshi. Waziri slipindishaapindisha tu mwisho akasema hilo laa jeshi ni hapo itaakapobidi. Hii ina maana gani.
 
Hivi hili la mkoa wa Chato, was a serious issue?? Tz tulipatwa na mzimu wa Mobutu, siyo bure.
Mwendazake jamani aendeeeee.
Hii nchi ni zaidi ya Chato.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
JPM alikuwa ni muona mbaaali Sana, watu wenye mawazo mafupi, baada ya miaka michache ijayo, watakuwa wamejielewa ujinga wao, Mimi Naamini Leo wameukataa mkoa wa Chatto, lkn miaka ijayo, Chatto itakuwa mkoa tuu
Tena tukiamua tunaifanya iwe kata kabxaa,kwa lipi lililopo hadi uwe mkoa?yaan Geita ilitolewa kama wilaya na kuwa mkoa,at the same upokonye tena kweny huo mkoa kufanya mkoa mwngin,.hizo ni akilii au matope?
 
Sawa ,pia tukubali Watanzania waoga ,tulidemka mziki wake bila shuruti.
Tatizo kwa walio wengi ni ujinga na uwendawazimu. Uliona wapi, mtu anatukanwa halafu anashangilia na kukenua meno? CCCM inaungwa mkono zaidi miongoni mwa watu wajinga (TWAWEZA).

Hakuna mtu mwenye akili, mwenye uelewa mpana, asiye mnafiki, aliyekuwa anamwunga mkono marehemu moja kwa moja. Katika mambo mengi, Marehemu alikuwa mbali sana nyuma ya Ulimwengu wa ustaarabu. Ameishi kwenye karne isiyo yake. Kwa asili yake, alionekana kuwa primitive.
 
Mkuu, itakuwa vizuri sana kwa anayefahamu, kama atatupatia majibu ya hili swali!
Naam mi naona kama habari haijakamilika kwakweli..!! Kwani Chato haijakidhi hadhi ya kuwa mkoa au wao wanaona wananchi wa Geita watasafiri kwa umbali mrefu kufata huduma huko Chato? Sijaelewa mantiki yao kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom