Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Yalikuwepo maelekezo tena kutoka ju but hiyo inauhusiano na yeye kutamka kwamba Chato iwe mkoa?Unadhani Chato ilijengeka yenyewe bila maelekezo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yalikuwepo maelekezo tena kutoka ju but hiyo inauhusiano na yeye kutamka kwamba Chato iwe mkoa?Unadhani Chato ilijengeka yenyewe bila maelekezo?
😂 😂 😂 😂Hawa hawa wengi wao walisaidiwa kupita udiwani wao bila kupingwa ndiyo hao hao wanamkaanga....kama leo mwendazake angeibuka wangesema wamenukuliwa vibaya!! Walimaanisha isiwe mkoa bali liwe jiji.
Yaani jamaa alikuwa mwanga sana.
Anawaambia Watumishi kama mshahara hautoshi waache kazi, na Watumishi wanapiga makofi.
Tupe sifa za eneo kuwa mkoa?JPM alikuwa ni muona mbaaali Sana, watu wenye mawazo mafupi, baada ya miaka michache ijayo, watakuwa wamejielewa ujinga wao, Mimi Naamini Leo wameukataa mkoa wa Chatto, lkn miaka ijayo, Chatto itakuwa mkoa tuu
Wako sahihi, Chato haistahili kabisa kuwa Mkoa.Baraza la Madiwani Geita limeukataa Mkoa wa Chato. Je, Hayati Magufuli angekuepo wangeweza kukataa hiki kitu. CCM wakikusifia au wakikubaliana na wewe ujue wana maslahi au ni Unafiki tu.
Wanajitahidi kufuta Legacy ya Shujaa wetu. Sio sahihi Hata kidogo.
=======
Baraza Maalum la Madiwani Halmashauri ya Wilani Geita Mkoa wa Geita wamepinga wilaya mpya ya Busanda pamoja na hifadi ya Taidfa ya Kisiwa cha Rubondo kuchukuliwa na mkoa mpya wa Chato unaotarajiwa kuanzishwa hivi karibuni wakidai kuwa itasababisha wananchi kusafiri umbali wa kilomita 200 kwenda kutafuta huduma na na kusababisha mkoa wa Geita kukosa sifa kiutawala.
"Tunaenda kupata huduma hii Chato -- kilomita zaidi ya 200. Sasa, ni namna gani tunazidi kuwaongezea wananchi wetu mzigo wakati wakihitaji huduma. Mimi naona mapendekezo haya yaheshimiwe..." Bw. Salehe Juma, Diwani wa Kata ya Nyarugusu
Kisiwa cha Rubondo wakiache katika mkoa wa Geita kwasababu mkoa mpya ambao unaenda kuundwa, mkoa wa Chato, ukiangalia Ngara kuna misitu
Mkuu wa wilaya ya Geita Fadhili Juma amaesema amepeleka mapendekezo Serikalini ya kukataa mpango huo wa kuchukua maeneo ya wilaya hiyo kwenda Chato kwakuwa yatasababisha athari kwa wananchi.
"Maazimio ambayo natoka nayo hapa na muhtasari, topo ridhaa kuacha kisiwa cha Rubondo lakini hatutakubali. Bora mkoa usipatikane kuliko wilaya ya Busanda kuingia kwenye mkoa mpya. Tuliwapa sababu zote kwamba ukitoa wilaya ya Busanda kwenye mkoa wa Geita maana yake mkoa wa Geita unakosa sifa za kuwa mkoa."
Baraza la Madiwani Geita limeukataa Mkoa wa Chato. Je, Hayati Magufuli angekuepo wangeweza kukataa hiki kitu. CCM wakikusifia au wakikubaliana na wewe ujue wana maslahi au ni Unafiki tu.
Wanajitahidi kufuta Legacy ya Shujaa wetu. Sio sahihi Hata kidogo.
=======
Baraza Maalum la Madiwani Halmashauri ya Wilani Geita Mkoa wa Geita wamepinga wilaya mpya ya Busanda pamoja na hifadi ya Taidfa ya Kisiwa cha Rubondo kuchukuliwa na mkoa mpya wa Chato unaotarajiwa kuanzishwa hivi karibuni wakidai kuwa itasababisha wananchi kusafiri umbali wa kilomita 200 kwenda kutafuta huduma na na kusababisha mkoa wa Geita kukosa sifa kiutawala.
"Tunaenda kupata huduma hii Chato -- kilomita zaidi ya 200. Sasa, ni namna gani tunazidi kuwaongezea wananchi wetu mzigo wakati wakihitaji huduma. Mimi naona mapendekezo haya yaheshimiwe..." Bw. Salehe Juma, Diwani wa Kata ya Nyarugusu
Kisiwa cha Rubondo wakiache katika mkoa wa Geita kwasababu mkoa mpya ambao unaenda kuundwa, mkoa wa Chato, ukiangalia Ngara kuna misitu
Mkuu wa wilaya ya Geita Fadhili Juma amaesema amepeleka mapendekezo Serikalini ya kukataa mpango huo wa kuchukua maeneo ya wilaya hiyo kwenda Chato kwakuwa yatasababisha athari kwa wananchi.
"Maazimio ambayo natoka nayo hapa na muhtasari, topo ridhaa kuacha kisiwa cha Rubondo lakini hatutakubali. Bora mkoa usipatikane kuliko wilaya ya Busanda kuingia kwenye mkoa mpya. Tuliwapa sababu zote kwamba ukitoa wilaya ya Busanda kwenye mkoa wa Geita maana yake mkoa wa Geita unakosa sifa za kuwa mkoa."
Muasisi wa kupita bila kupingwa Hakuwahi kushinda zaidi ya kujishindishaWamemgeuka mpaka nyumbani kwao.
Maisha ni leo sio kesho.JPM alikuwa ni muona mbaaali Sana, watu wenye mawazo mafupi, baada ya miaka michache ijayo, watakuwa wamejielewa ujinga wao, Mimi Naamini Leo wameukataa mkoa wa Chatto, lkn miaka ijayo, Chatto itakuwa mkoa tuu