Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ni uchawi tu. Ila afadhali kafa na uchawi wake
Walifanywa kama mazombi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walifanywa kama mazombi
Wako sahihi. Ya nini mkoa wa kulazimisha wakati hata vigezo haukidhi.
Alafu hakuna kitu unaweza mfanya, ila tanzania ilipitia kipnd kigumu sana
bora madiwani wameukataaHuo mkoa sipendi hata kuusikia,hauna tija yoyote.
Ha ha ha!!! Kwa hiyo akate Morogoro na Tabora aunganishe na Chato apate mkoa!!!!Marehemu alikuwaga mjinga kwelikweli, yaani uende ukakate mkoa uliokatwa kutoka wilaya zingine uache mikoa kama Tabora na Morogoro yenye maeneo makubwa! Uendawazinu huu!
nataka nikapangishe paleNafikiria ile ikulu aliyoijenga kule Chato,kwasasa sijui anakaa nani,
Aisee
Nani amesema hivyo?Ha ha ha!!! Kwa hiyo akate Morogoro na Tabora aunganishe na Chato apate mkoa!!!!
Natamani kusikia maoni ya pro-mwendazake.
oYule jamaa alikuwa anaogopeka sana.
Mbona mbowe hawamwogopi pamoja na kuuwa kila anayejaribu kuwa mwenyekiti wa chademaJiwe nguvu zake za giza alitoa wapi?
o
Muuaji yeyote huwa anaogopewa, it is a common thing na wala hakuna cha ajabu. Boksa, Mobutu, Idd Amin and many others wauaji walikuwa wanaogopewa sana maana na WAUAJI.... simple
Kakataliwa kwao !Jiwe kweli alikuwa hafai.
Huwezi kucheza na Task Force BwasheeJiwe nguvu zake za giza alitoa wapi?
Yule jamaa alikuwa anaogopeka sana.
Legacy ya Jiwe imepukutika haraka sana !Mbona mbowe hawamwogopi pamoja na kuuwa kila anayejaribu kuwa mwenyekiti wa chadema
Nilidhani naongea na sensible man, kumbe!Mbona mbowe hawamwogopi pamoja na kuuwa kila anayejaribu kuwa mwenyekiti wa chadema
Mfute Jiwe huko aliko umbusu maana naona kihoro bado kabisa. Utatesek sana wala halitarudi, ndiyo imetoka hiyo............buguruni inaelekeaMbona mbowe hawamwogopi pamoja na kuuwa kila anayejaribu kuwa mwenyekiti wa chadema