Geita Gold Fc 0-1 Yanga Sc | NBC PL | CCM Kirumba

Geita Gold Fc 0-1 Yanga Sc | NBC PL | CCM Kirumba

hawa madogo kwanini wanacheza hivi?

Geita wapo vizuri shida ni tension Kubwa.

Mwalimu pia amepanick

Geita wakipata mwalimu mzuri wanaweza kuwa Rivals wa The top three
Na huo ndio ukweli. Walichofanya yanga ni kuanza mpira kwa kasi na kuwa press Geita jambo ambalo limewafanya Geita kuvulugwa na kupata goli la mapema. Hakuna cha muamala wala nini hii game Geuta wakiongeza umakini wanasawazusha goli
 
Mpaka saizi Geita wamekosa magoli karibia matatu ya wazi
 
Huwa hamuwatendei kabisa haki mashabiki wenzenu weye akili timamu, na wanao amini mpira unachezwa uwanjani. Kuna wakati muwe mnajisikia hata aibu basi.
Uwanja upi kimataifa mlipigwa nje ndani ilo timu bovu endeleeni na hako kautaratibu kenu mtaishia hapahapa bongo
 
Timu ikifungwa na Yanga, inaonekana Yanga ipo vizuri. Lakini timu hiyo hiyo ikija kufungwa na Simba inaonekana ni vibonde( wepesi)
 
Huwa hamuwatendei kabisa haki mashabiki wenzenu weye akili timamu, na wanao amini mpira unachezwa uwanjani. Kuna wakati muwe mnajisikia hata aibu basi.
Mpira hauchezwi uwanjani peke yake
Waukize mashabiki wa Geita 😂😂😂😂

Punguza munkari mkuu
Hizi ndio raha za ushabiki
 
Back
Top Bottom