Geita Gold Fc 0-1 Yanga Sc | NBC PL | CCM Kirumba

Geita Gold Fc 0-1 Yanga Sc | NBC PL | CCM Kirumba

Mpira hauchezwi uwanjani peke yake
Waukize mashabiki wa Geita 😂😂😂😂

Punguza munkari mkuu
Hizi ndio raha za ushabiki

Mnazingua bhana! Mpira ni mchezo wa wazi! Unaona kabisa wachezaji wa Geita wanavyo pambana! Lakini mwisho wa siku mnakuja kutoa shutuma za uongo!

Hili jambo halikubaliki hata kidogo.
 
Mnazingua bhana! Mpira ni mchezo wa wazi! Unaona kabisa wachezaji wa Geita wanavyo pambana! Lakini mwisho wa siku mnakuja kutoa shutuma za uongo!

Hili jambo halikubaliki hata kidogo.
Huu ubingwa kama mkichukua muende kushangilia Afghanistan.
 
Ongeza na hii Yanga ikishinda giesiemu wamenunua
Hako ka mchezo ni kweli walikuwa nacho ila baada ya yule binti wa Simba kufanya yake na kuvutwa waya kutokea Cameron naona GSM hata kuidhamini Yanga ni suala la muda tu, muda wowote linaweza tokea lolote. Kwa sababu aliwa ahid ubingwa kwanana yoyote ile ngoja atimize ahadi yake. Kauli tata nyingi zimetokewa na Engineer wenu inathibitisha walikuwa wananunua
 
Back
Top Bottom