Geita Gold wanajenga uwanja wao bila michango ya mashabiki wake

Engineer anaacha kujenga uwanja wa mazoezi yeye anadhamini Ligi Kuu kimagumashi.

Endeleeni na hekaya, lakini Simba SC tunasonga mbele.
Engineer...anataka kukuza soka kwasababu.... Sio mchoyo kama ndugu yetu khanjibai
 
Engineer anaacha kujenga uwanja wa mazoezi yeye anadhamini Ligi Kuu kimagumashi.

Endeleeni na hekaya, lakini Simba SC tunasonga mbele.
mmefikia wapi kwenye ujenzi wa kiwanja cha kumfariji babra??
 
Haya sasa na nyie utopolo jengeni wenu! Mnasubiri nini, mnapigwa bao na kitimu kidogo!!
Uwanja wa mkapa unatosha mkuu.......saiz Target yetu ni kuchukua vikombe
 
Cha kujifunza ni wabinafs. Kitu chochote ukifanya kwa kushirikisha wenzio, kinapendeza sana
 
Umeandika kiufund Sana mkuu
 
Unapoteza nguvu zako bure kumwelewesha mtu asiyejielewa, humu tupo tofauti sana kila mtu na uono na upeo wake wa kutambua. Nimefanya kazi kwenye kampuni kubwa labda ingekuwepo hadi sasa ndio ingeweza kushindanishwa na hiyo GGML na ilikuwa na timu ambazo bajeti ya sports ilikuwa inalingana na bajeti ya idara zingine Tena sports ilikuwa kubwa, hata viongozi wa Simba na Yanga walikuwa wanaijua, sisemi zaidi ya kusema atofautishe timu ya Kampuni na timu ambayo ipo tu inategemea michango kutoka kwa wafadhili, wanachama na mashabiki, kile kiwanja kitatumika hata Kama hiyo timu itakufa, na kajieleza kabisa wanatoa kwa awamu labda hailewi maana ya awamu, labda hajui maana ya Geita Gold Sport [emoji3][emoji3][emoji3], hizi timu zetu mbili ni timu ambazo mara nyingi hupitia wakati mgumu Sana ile kuzomea na kutania ni mazoea kwa watani wa jadi ukweli ni kwamba hakuna asiyejua hali anayoipitia mwenzie.
 
Akikuelewa nistue
 
kwa huu upumbavu ulioandika sidhani hata kama una hadhi ya kujibiwa na mimi
 
Huu ni ujinga sasa. Simba inamilikiwa na nan na Geita gold inamilikiwa na nan?

Mashabiki wa Geita ni sehemu ya wamiliki wa timu Kama ilivyo Kwa mashabik wa Simba?
We ndo utumie akili wapi katajwa simba
 
kwa huu upumbavu ulioandika sidhani hata kama una hadhi ya kujibiwa na mimi
Sina hadhi ya kujibiwa na we sababu we Ni mbulula ambae ata akiambiwa ukweli anatia pamba masikioni. Uwepo was Mo ni Nini misingi yake Kama anashindwa kutumia njia sahihi za kupata fedha za kujenga uwanja? Take the club public at least km vilabu vya nje vinavyofanya. Mo hisa zake zitakuwa na kupata return on investment yake, club itapata fedha za kutosha na wachangiaji(wanahisa mtakuwa) mtapata gawio la mchango wenu kwa fedha itayopatikana kwenye getti/matangazo nk. Pia hisa zenu zikikuwa mnaweza kuuza kwa faida zaidi au kuchukua mikopo no. Km bado naongea upumbavu bas naomba mnisamehe.
 
Ivi Kwanza wanasimba mshalipia hisa zenu (wananchi)? Mana mkizilipia mnaraise 20billion plus na mnakuwa wamiliki halali?
 
Ivi Kwanza wanasimba mshalipia hisa zenu (wananchi)? Mana mkizilipia mnaraise 20billion plus na mnakuwa wamiliki halali?

Anzisha uzi wa bilioni 20 za timu ya Simba zimeshalipwa au la?
Wasemaji wa timu watakuja kujibu.

Hapa kinachoongelewa ni suala mtambuka, ni la ki-sera na si individual.
 
Kwa akili za kawaida tu au za kiutopolo, hivi geita wakisema wakenge uwanja kwa michango ya mashabiki, watajenga uwanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…