Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmefikia wapi kwenye ujenzi wa kiwanja cha kumfariji babra??Engineer anaacha kujenga uwanja wa mazoezi yeye anadhamini Ligi Kuu kimagumashi.
Endeleeni na hekaya, lakini Simba SC tunasonga mbele.
Cha kujifunza ni wabinafs. Kitu chochote ukifanya kwa kushirikisha wenzio, kinapendeza sanaKlabu ya Geita Gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12
Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi zake
Ikumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya
Je, kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold.
View attachment 2054832
Umeandika kiufund Sana mkuuMantiki ya umiliki wa hizi timu ndo msingi wa nani abebe jukumu kubwa la maendeleo:
1: Azam
2: Geita
3: Simba
4: Yanga
Kwa umiliki wa mfumo wa Azam vs Geita, mmiliki mmoja anabeba jukumu kuu la maendeleo.
Kwa Simba vs Yanga, bado wananchi ni wadau wakubwa wa maendeleo kwa sababu ni sehemu ya umiliki.
Mdhamini huja na mnakubaliana na terms of references, unapopata kitu cha kufanya wakati mkataba mwingine unaendelea labda usubiri mkataba uishe au mkubaliane ndani ya mkataba. Inatrgemea busara zako zitakupeleka wapi.
Ukitaka upate mzamini mwingine wa mradi mkubwa, pia uwe na terms za nini yeye atafaidika nacho? Lakini pia asiwe na mgongano na mwenzie.
Lakini, pia si kosa wamiliki wa timu kuendelea na mchakato na hao wengine wakawakuta huko mbele. Mnakuwa mnapunguza pengo na kuimarisha umiliki wenu.
Asikwambie mtu Tanzania/Watanzania si masikini, bali ni ukosefu wa entrepreneur skills na priorities. Kama nchi na kwa baadhi ya watu mmoja mmoja.
Kila mtu anataka kuwa bosi, unapata 100, unakula 99 ndo tunaleta makasiriko mtaani.
Unapoteza nguvu zako bure kumwelewesha mtu asiyejielewa, humu tupo tofauti sana kila mtu na uono na upeo wake wa kutambua. Nimefanya kazi kwenye kampuni kubwa labda ingekuwepo hadi sasa ndio ingeweza kushindanishwa na hiyo GGML na ilikuwa na timu ambazo bajeti ya sports ilikuwa inalingana na bajeti ya idara zingine Tena sports ilikuwa kubwa, hata viongozi wa Simba na Yanga walikuwa wanaijua, sisemi zaidi ya kusema atofautishe timu ya Kampuni na timu ambayo ipo tu inategemea michango kutoka kwa wafadhili, wanachama na mashabiki, kile kiwanja kitatumika hata Kama hiyo timu itakufa, na kajieleza kabisa wanatoa kwa awamu labda hailewi maana ya awamu, labda hajui maana ya Geita Gold Sport [emoji3][emoji3][emoji3], hizi timu zetu mbili ni timu ambazo mara nyingi hupitia wakati mgumu Sana ile kuzomea na kutania ni mazoea kwa watani wa jadi ukweli ni kwamba hakuna asiyejua hali anayoipitia mwenzie.Fight for food for four years ,ndio hii njemba Sasa.
Hata Akili ya kujishughurisha kidogo tu na kuwaza kwa upana hakuna kabisa.
Unakumbuka Yanga aliwahi pitisha Bakuli na kweli alikua anapata pesa nyingi na zikawa zinawasaidia kutatua matatizo yao ,je Rudi hapo hapo unahisi Leo hii Geita Gold nao ikatokea wamepata changamoto Kama ya Yanga ya wakati ule ,hao Geita wakiamua kuchangisha Bakuli Wana jeuri hata ya kupata million 10 mtaani?
Kwenye swala la uwanja wa Simba nguvu ya mashabiki ndio imeamua hivyo viongozi nao wamebariki ,huwez zuia nguvu ya umma.
Akikuelewa nistueMantiki ya umiliki wa hizi timu ndo msingi wa nani abebe jukumu kubwa la maendeleo:
1: Azam
2: Geita
3: Simba
4: Yanga
Kwa umiliki wa mfumo wa Azam vs Geita, mmiliki mmoja anabeba jukumu kuu la maendeleo.
Kwa Simba vs Yanga, bado wananchi ni wadau wakubwa wa maendeleo kwa sababu ni sehemu ya umiliki.
Mdhamini huja na mnakubaliana na terms of references, unapopata kitu cha kufanya wakati mkataba mwingine unaendelea labda usubiri mkataba uishe au mkubaliane ndani ya mkataba. Inatrgemea busara zako zitakupeleka wapi.
Ukitaka upate mzamini mwingine wa mradi mkubwa, pia uwe na terms za nini yeye atafaidika nacho? Lakini pia asiwe na mgongano na mwenzie.
Lakini, pia si kosa wamiliki wa timu kuendelea na mchakato na hao wengine wakawakuta huko mbele. Mnakuwa mnapunguza pengo na kuimarisha umiliki wenu.
Asikwambie mtu Tanzania/Watanzania si masikini, bali ni ukosefu wa entrepreneur skills na priorities. Kama nchi na kwa baadhi ya watu mmoja mmoja.
Kila mtu anataka kuwa bosi, unapata 100, unakula 99 ndo tunaleta makasiriko mtaani.
kwa huu upumbavu ulioandika sidhani hata kama una hadhi ya kujibiwa na mimiFFunbase
Inafaidika vipi kiuchumi alaf? Au fedha za mapato ya kiingilio mshatoa sadaka kwa mwekezaui? Morning is a smart guy, you guys be smart Mana mnalanguliwa. Yani ndo Mana sioni umuhimu was kufatilia soka Tanzania Mana watanzania Ni watu wapumbavu Sana. Club baada ya kwenda public na kufaidi a wanachama wake eti inachangisha hell au mijitu inachangia!!!!!?🐒🐒🐒🐒🐒🐒
Kajifunze kuandika kiumeLigue yetu ndio inaenda kuwa super .....coz now wazamin ni weng kiasi kwamba ukata wa timu unapungua
That's y timu now zina lalamika kuwa ligue ya msimu huu ni ngumu
We ndo utumie akili wapi katajwa simbaHuu ni ujinga sasa. Simba inamilikiwa na nan na Geita gold inamilikiwa na nan?
Mashabiki wa Geita ni sehemu ya wamiliki wa timu Kama ilivyo Kwa mashabik wa Simba?
Ndio, sababu mnaibiwa alaf pesa tabu kupatikana. Mwekezaji aeke hela au atoke Mana itakuwa Hana umuhimu Kama anapitisha bakuli. Kwanza kuwepo kwake lengo lilikuwa Nini?Una uchungu sana ña pesa za wenyewe?
Sina hadhi ya kujibiwa na we sababu we Ni mbulula ambae ata akiambiwa ukweli anatia pamba masikioni. Uwepo was Mo ni Nini misingi yake Kama anashindwa kutumia njia sahihi za kupata fedha za kujenga uwanja? Take the club public at least km vilabu vya nje vinavyofanya. Mo hisa zake zitakuwa na kupata return on investment yake, club itapata fedha za kutosha na wachangiaji(wanahisa mtakuwa) mtapata gawio la mchango wenu kwa fedha itayopatikana kwenye getti/matangazo nk. Pia hisa zenu zikikuwa mnaweza kuuza kwa faida zaidi au kuchukua mikopo no. Km bado naongea upumbavu bas naomba mnisamehe.kwa huu upumbavu ulioandika sidhani hata kama una hadhi ya kujibiwa na mimi
Akikuelewa nistue
Ivi Kwanza wanasimba mshalipia hisa zenu (wananchi)? Mana mkizilipia mnaraise 20billion plus na mnakuwa wamiliki halali?Mantiki ya umiliki wa hizi timu ndo msingi wa nani abebe jukumu kubwa la maendeleo:
1: Azam
2: Geita
3: Simba
4: Yanga
Kwa umiliki wa mfumo wa Azam vs Geita, mmiliki mmoja anabeba jukumu kuu la maendeleo.
Kwa Simba vs Yanga, bado wananchi ni wadau wakubwa wa maendeleo kwa sababu ni sehemu ya umiliki.
Mdhamini huja na mnakubaliana na terms of references, unapopata kitu cha kufanya wakati mkataba mwingine unaendelea labda usubiri mkataba uishe au mkubaliane ndani ya mkataba. Inatrgemea busara zako zitakupeleka wapi.
Ukitaka upate mzamini mwingine wa mradi mkubwa, pia uwe na terms za nini yeye atafaidika nacho? Lakini pia asiwe na mgongano na mwenzie.
Lakini, pia si kosa wamiliki wa timu kuendelea na mchakato na hao wengine wakawakuta huko mbele. Mnakuwa mnapunguza pengo na kuimarisha umiliki wenu.
Asikwambie mtu Tanzania/Watanzania si masikini, bali ni ukosefu wa entrepreneur skills na priorities. Kama nchi na kwa baadhi ya watu mmoja mmoja.
Kila mtu anataka kuwa bosi, unapata 100, unakula 99 ndo tunaleta makasiriko mtaani.
Tanzania kuna ulaghai na utapeli hakuna mpira. Wizi ndio umejaa katika soka letu.Haitatokea mkuu.....Tanzania mpira unakuwa kwa kasi sana
Ivi Kwanza wanasimba mshalipia hisa zenu (wananchi)? Mana mkizilipia mnaraise 20billion plus na mnakuwa wamiliki halali?
Sio utajiri wa ndagu,wabongo wa kipato cha chini na cha kati wananguvu na mipango dhabit kwenye kufanikisha mambo ya starehe.Huyo ....itakuwa ana utajiri wa ndagu......masharti
Kwa akili za kawaida tu au za kiutopolo, hivi geita wakisema wakenge uwanja kwa michango ya mashabiki, watajenga uwanja?Klabu ya Geita Gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12
Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi zake
Ikumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya
Je, kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold.
View attachment 2054832
Uwanja wa bil 2Yah mkuu....lkn hawajatangaza kuwa wachangiwe na mashabiki