Geita Gold wanajenga uwanja wao bila michango ya mashabiki wake

Engineer anaacha kujenga uwanja wa mazoezi yeye anadhamini Ligi Kuu kimagumashi.

Endeleeni na hekaya, lakini Simba SC tunasonga mbele.
Engineer...anataka kukuza soka kwasababu.... Sio mchoyo kama ndugu yetu khanjibai
 
Klabu ya Geita Gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12

Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi zake

Ikumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya

Je, kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold.

View attachment 2054832
Cha kujifunza ni wabinafs. Kitu chochote ukifanya kwa kushirikisha wenzio, kinapendeza sana
 
Mantiki ya umiliki wa hizi timu ndo msingi wa nani abebe jukumu kubwa la maendeleo:
1: Azam
2: Geita
3: Simba
4: Yanga

Kwa umiliki wa mfumo wa Azam vs Geita, mmiliki mmoja anabeba jukumu kuu la maendeleo.

Kwa Simba vs Yanga, bado wananchi ni wadau wakubwa wa maendeleo kwa sababu ni sehemu ya umiliki.

Mdhamini huja na mnakubaliana na terms of references, unapopata kitu cha kufanya wakati mkataba mwingine unaendelea labda usubiri mkataba uishe au mkubaliane ndani ya mkataba. Inatrgemea busara zako zitakupeleka wapi.

Ukitaka upate mzamini mwingine wa mradi mkubwa, pia uwe na terms za nini yeye atafaidika nacho? Lakini pia asiwe na mgongano na mwenzie.

Lakini, pia si kosa wamiliki wa timu kuendelea na mchakato na hao wengine wakawakuta huko mbele. Mnakuwa mnapunguza pengo na kuimarisha umiliki wenu.

Asikwambie mtu Tanzania/Watanzania si masikini, bali ni ukosefu wa entrepreneur skills na priorities. Kama nchi na kwa baadhi ya watu mmoja mmoja.

Kila mtu anataka kuwa bosi, unapata 100, unakula 99 ndo tunaleta makasiriko mtaani.
Umeandika kiufund Sana mkuu
 
Fight for food for four years ,ndio hii njemba Sasa.

Hata Akili ya kujishughurisha kidogo tu na kuwaza kwa upana hakuna kabisa.

Unakumbuka Yanga aliwahi pitisha Bakuli na kweli alikua anapata pesa nyingi na zikawa zinawasaidia kutatua matatizo yao ,je Rudi hapo hapo unahisi Leo hii Geita Gold nao ikatokea wamepata changamoto Kama ya Yanga ya wakati ule ,hao Geita wakiamua kuchangisha Bakuli Wana jeuri hata ya kupata million 10 mtaani?

Kwenye swala la uwanja wa Simba nguvu ya mashabiki ndio imeamua hivyo viongozi nao wamebariki ,huwez zuia nguvu ya umma.
Unapoteza nguvu zako bure kumwelewesha mtu asiyejielewa, humu tupo tofauti sana kila mtu na uono na upeo wake wa kutambua. Nimefanya kazi kwenye kampuni kubwa labda ingekuwepo hadi sasa ndio ingeweza kushindanishwa na hiyo GGML na ilikuwa na timu ambazo bajeti ya sports ilikuwa inalingana na bajeti ya idara zingine Tena sports ilikuwa kubwa, hata viongozi wa Simba na Yanga walikuwa wanaijua, sisemi zaidi ya kusema atofautishe timu ya Kampuni na timu ambayo ipo tu inategemea michango kutoka kwa wafadhili, wanachama na mashabiki, kile kiwanja kitatumika hata Kama hiyo timu itakufa, na kajieleza kabisa wanatoa kwa awamu labda hailewi maana ya awamu, labda hajui maana ya Geita Gold Sport [emoji3][emoji3][emoji3], hizi timu zetu mbili ni timu ambazo mara nyingi hupitia wakati mgumu Sana ile kuzomea na kutania ni mazoea kwa watani wa jadi ukweli ni kwamba hakuna asiyejua hali anayoipitia mwenzie.
 
Mantiki ya umiliki wa hizi timu ndo msingi wa nani abebe jukumu kubwa la maendeleo:
1: Azam
2: Geita
3: Simba
4: Yanga

Kwa umiliki wa mfumo wa Azam vs Geita, mmiliki mmoja anabeba jukumu kuu la maendeleo.

Kwa Simba vs Yanga, bado wananchi ni wadau wakubwa wa maendeleo kwa sababu ni sehemu ya umiliki.

Mdhamini huja na mnakubaliana na terms of references, unapopata kitu cha kufanya wakati mkataba mwingine unaendelea labda usubiri mkataba uishe au mkubaliane ndani ya mkataba. Inatrgemea busara zako zitakupeleka wapi.

Ukitaka upate mzamini mwingine wa mradi mkubwa, pia uwe na terms za nini yeye atafaidika nacho? Lakini pia asiwe na mgongano na mwenzie.

Lakini, pia si kosa wamiliki wa timu kuendelea na mchakato na hao wengine wakawakuta huko mbele. Mnakuwa mnapunguza pengo na kuimarisha umiliki wenu.

Asikwambie mtu Tanzania/Watanzania si masikini, bali ni ukosefu wa entrepreneur skills na priorities. Kama nchi na kwa baadhi ya watu mmoja mmoja.

Kila mtu anataka kuwa bosi, unapata 100, unakula 99 ndo tunaleta makasiriko mtaani.
Akikuelewa nistue
 
FFunbase

Inafaidika vipi kiuchumi alaf? Au fedha za mapato ya kiingilio mshatoa sadaka kwa mwekezaui? Morning is a smart guy, you guys be smart Mana mnalanguliwa. Yani ndo Mana sioni umuhimu was kufatilia soka Tanzania Mana watanzania Ni watu wapumbavu Sana. Club baada ya kwenda public na kufaidi a wanachama wake eti inachangisha hell au mijitu inachangia!!!!!?🐒🐒🐒🐒🐒🐒
kwa huu upumbavu ulioandika sidhani hata kama una hadhi ya kujibiwa na mimi
 
Huu ni ujinga sasa. Simba inamilikiwa na nan na Geita gold inamilikiwa na nan?

Mashabiki wa Geita ni sehemu ya wamiliki wa timu Kama ilivyo Kwa mashabik wa Simba?
We ndo utumie akili wapi katajwa simba
 
kwa huu upumbavu ulioandika sidhani hata kama una hadhi ya kujibiwa na mimi
Sina hadhi ya kujibiwa na we sababu we Ni mbulula ambae ata akiambiwa ukweli anatia pamba masikioni. Uwepo was Mo ni Nini misingi yake Kama anashindwa kutumia njia sahihi za kupata fedha za kujenga uwanja? Take the club public at least km vilabu vya nje vinavyofanya. Mo hisa zake zitakuwa na kupata return on investment yake, club itapata fedha za kutosha na wachangiaji(wanahisa mtakuwa) mtapata gawio la mchango wenu kwa fedha itayopatikana kwenye getti/matangazo nk. Pia hisa zenu zikikuwa mnaweza kuuza kwa faida zaidi au kuchukua mikopo no. Km bado naongea upumbavu bas naomba mnisamehe.
 
Mantiki ya umiliki wa hizi timu ndo msingi wa nani abebe jukumu kubwa la maendeleo:
1: Azam
2: Geita
3: Simba
4: Yanga

Kwa umiliki wa mfumo wa Azam vs Geita, mmiliki mmoja anabeba jukumu kuu la maendeleo.

Kwa Simba vs Yanga, bado wananchi ni wadau wakubwa wa maendeleo kwa sababu ni sehemu ya umiliki.

Mdhamini huja na mnakubaliana na terms of references, unapopata kitu cha kufanya wakati mkataba mwingine unaendelea labda usubiri mkataba uishe au mkubaliane ndani ya mkataba. Inatrgemea busara zako zitakupeleka wapi.

Ukitaka upate mzamini mwingine wa mradi mkubwa, pia uwe na terms za nini yeye atafaidika nacho? Lakini pia asiwe na mgongano na mwenzie.

Lakini, pia si kosa wamiliki wa timu kuendelea na mchakato na hao wengine wakawakuta huko mbele. Mnakuwa mnapunguza pengo na kuimarisha umiliki wenu.

Asikwambie mtu Tanzania/Watanzania si masikini, bali ni ukosefu wa entrepreneur skills na priorities. Kama nchi na kwa baadhi ya watu mmoja mmoja.

Kila mtu anataka kuwa bosi, unapata 100, unakula 99 ndo tunaleta makasiriko mtaani.
Ivi Kwanza wanasimba mshalipia hisa zenu (wananchi)? Mana mkizilipia mnaraise 20billion plus na mnakuwa wamiliki halali?
 
Anzisha uzi wa bilioni 20 za timu ya Simba zimeshalipwa au la?
Wasemaji wa timu watakuja kujibu.

Hapa kinachoongelewa ni suala mtambuka, ni la ki-sera na si individual.
 
Klabu ya Geita Gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12

Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi zake

Ikumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya

Je, kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold.

View attachment 2054832
Kwa akili za kawaida tu au za kiutopolo, hivi geita wakisema wakenge uwanja kwa michango ya mashabiki, watajenga uwanja?
 
Back
Top Bottom